MWANGOSI nakulilia

Yeah, dedicatin' this to my nigga O
We miss you nigga
Goin out to all the niggas that died in the struggle
Word up, shit is real in the field
You know, sparkin' blunts for all you niggaz
Word up

Each and every day
The daydreams of how we used to be
See your family
And that baby's lookin just like you
Why'd you gone away

I've been missin you lately
Tell me why you're gone and thru
O yeah

Verse One: Ta Muganyizi

I remember sellin three bricks of straight flour
Got my man a beat down to the third power
He didn't care, spent the money in a half hour
Got some fishscale, ain't no competition that could sour
Got the coke cooked up, a crackhead heaven
In eighty-eight, when Kane ruled, with Half Steppin
A thirty-eight, a lot of mouth, was our only weapon
We was king till the G's crept in
And now I'm missin em

Chorus:

Ooh, I'm missin you
Tell me why the road turns, why it turns
Ooh, I'm missin you
Nah nah nah nah nah, oh tell me why why why why

Verse Two: Ta Muganyizi

We work all week, we dancin, play the movies
We rock flatops, our girls rocked doobies
Made a killin, even though the D's knew me
Eventually, you know they try to do me
**** it
Fed up, my nigga want to take it down south
Sick of cops comin, sick of throwin jacks in his mouth
Gave him half my paper, told 'em go that route
Few months, he got his brain blown out
Now I'm stressed
His baby's mother, she trippin, blamin me
And his older brothers, understand, the game it be
Kinda topsy turvy
You win some, you lose some
Damn, they lost a brother
They mother lost a son
****, why my nigga couldn't stay in NY?
I'm a thug, but I swear for three days I cried
I look in the sky and ask God why
Can't look his baby girls in the eye
D*mn I miss you

Chorus

Verse Three: Ta Muganyizi

There was this girl around the way that make cats drool
Her name's Drew, played fools out they money in pool
People swore we was f*ckin but we was just cool
She used to hang while I slang my drugs after school
She'd watch my bomb, help my moms with the groceries
My little sister, the girl was kinda close to me
A little closer than the average girl's supposed to be
Far from a lover, my girl was jealous of her
Then she started messin with some major players
Handled keys, niggas called them the Bricklayers
A dread kid, had a baby fore that bitch Taya
Found out her baby's father cheatin, now Drew she gotta slay her
One night, across from the corner store
Taya ran around the block with a chrome four-four
Squeezed all six shots in the passenger door
The dude lived, what my baby had to die for
We missin her and Mwangosi too!!!


The Notorious B.I.G.-Miss U (Ft. 112) - YouTube
 
Nalala nikiimba huu wimbo na kuomboleza baada ya kuona picha zaidi na video za mauaji ya Mwangosi kwa ukaribu kisha kuona viongozi wangu wa kitaifa wa CDM wakitoa machozi. Imeniuma sana aiseeeeeeee.
 
Hivi unajua connotation ya neno 'nigga'? Yaani wimbo una maneno machafuchafu wewe ndiyo umeona wa kumpa marehemu. Hata kama hujui kiingereza siyo kujipostia tu hata takataka. Ungetafuta hata jirani akusaidie kuufanya uendane na mazingira.
 
Mbona hao viongozi walitoa machozi ya furaha kuona kuwa wameongeza msukule mwingine tena nje ya waandamanaji. Weeeewe!! pipoz pawa at work
 
Hivi unajua connotation ya neno 'nigga'? Yaani wimbo una maneno machafuchafu wewe ndiyo umeona wa kumpa marehemu. Hata kama hujui kiingereza siyo kujipostia tu hata takataka. Ungetafuta hata jirani akusaidie kuufanya uendane na mazingira.

Tumia denotative meaning ambayo haina inclusion wala exclusion of any feature. In my heart am sad..... and that song is not for paty
 
Mbona hao viongozi walitoa machozi ya furaha kuona kuwa wameongeza msukule mwingine tena nje ya waandamanaji. Weeeewe!! pipoz pawa at work

Umekunywa vodka ngapi hadi sasa? Maana ukilewa mtu mwenye huzuni unaona ancheka hasa wewe unayekula na kuberi
 
mkuu nakupongeza kwa kutoa muda wako na kutunga kazi nzuri kumuenzi marehemu, tupo pamoja katika kumuombea na kumkumbuka.Apumzike kwa amani mwangosi pamoja na marehemu wote waliouwawa na polisi kwenye mikutano ya ukombozi .
 
mkuu nakupongeza kwa kutoa muda wako na kutunga kazi nzuri kumuenzi marehemu, tupo pamoja katika kumuombea na kumkumbuka.Apumzike kwa amani mwangosi pamoja na marehemu wote waliouwawa na polisi kwenye mikutano ya ukombozi .

Asante mkuu japokuwa nimecopy na kupaste lanini meseji imefika na huzuni yangu imesikika
 
Hivi unajua connotation ya neno 'nigga'? Yaani wimbo una maneno machafuchafu wewe ndiyo umeona wa kumpa marehemu. Hata kama hujui kiingereza siyo kujipostia tu hata takataka. Ungetafuta hata jirani akusaidie kuufanya uendane na mazingira.

Hebu wewe tuletee wimbo wako hapa.. Au maneno ya kuonyesha huzuni yako tulinganishe... Manake bado sijakuelewa unachopenda kusikia juu ya Marehemu.
 
Sijawahi ona machozi yangu mwenyewe takriban kwa miaka 30, hadi niliposhuhudia picha za rundo la nyama za Hayati Mwangosi, kidume mimi nimelia na kumwaga chozi hadharani,walau basi ingekua amechinjwa tu na majambazi ama vibaka nisingeumia hivi.Amechinjwa na Serikali tuliyoiweka wenyewe madarakani,siamini.Si kwamba mwangosi alikuwa kikaba,mwizi,ama aliyekuwa vitani dhidi ya serikali,alikua akiwajibika kwa taifa,kazi iliyompatia riziki yake halali na watoto wake.Kwa kutimiza wajibu wake,amefanywa rundo la nyama,alitenda dhambi ipi Mwangosi hata kustahili kufa kifo kilichomsahili Nduli Idd Amin! Askari aliyefanya hivyo Fimbo ya mungu ikatende kazi sasa na apate mateso makali ktk maisha yake hapa duniani na mwisho ahera.Na Serikali iliyo madarakani ikaadhibiwe vikali.Naomba mungu asinitoe duniani kabla sijashuhudia Serikali hii na Chama chake vikiadhibiwa vikali.
 
Hii ni thread ya mia moja ya kuhusiana na tukio hili. Halafu mnarudia maneno yale yale. Iko kazi
 
Hii ni thread ya mia moja ya kuhusiana na tukio hili. Halafu mnarudia maneno yale yale. Iko kazi

Hata ngekuwa ya billlion moja, hii ni kashfa kwa serikali na dunia yote imelaani. Na ukiona kila mtu anapost kuhusu kifo cha mpendwa wetu Mwangosi jua kuna kitu ndani yake. Pole sana.
 
Kwa kweli kuna kazi kubwa kuwang'oa hawa madikteta wa utawala. Kama alivyosema mwasisi wa magamba dikteta nyerere, " ukizoea kula nyama ya mtu huwezi kuacha", ndivyo ilivyo kwa mafisadi wa magamba kuacha ufidhuli wao ni ngumu.
 
Daud Mwangosi,ulale salama,
Ulikupata mkosi,ukatuacha nyuma,
Wamekuua Polisi,tena bila huruma,
Mwangosi nakulilia.

Ukiwa kazini,unajitafutia kipato,
Umejawa umakini,ili kutunza watoto,
Polisi mahayawani,wakaleta habari nzito,
Mwangosi nakulilia.

Channel Ten,kituo chako cha kazi,
From then,umewaachia majonzi,
Yes we can,wataindeleza kazi,
Mwangosi nakulilia.

Ni nzima Tanzania,utaratibu unafahamika,
Polisi wafanya hima,kombe kufunika,
Wenyewe hawana bima,milele kufika,
Mwangosi nakulilia.

Tume imeshaundwa,uchunguzi kufanya,
Tayari imeshashindwa,ushahidi kukusanya,
Polisi wanapondwa,kwa wanayoyafanya,
Mwangosi nakulilia.

Sikia ahadi yangu,Hayati Mwangosi,
Polisi adui zangu,hata kwenye kadamnasi,
Nitamaliza hasira zangu,nikiamua kuasi,
Mwangosi nakulilia.

Raha ya milele umpe ee Bwana,na mwanga wa milele umwangazie.Apumzike kwa amani.Amina.




Kaka mbona unaniliza? Utenzi wako unanifanya nitamani kulipa kisasi, kama cha kikosi cha kisasi. Hakuna ushindi usiokuwa na majonzi RIP MWANGOSI LAKINI TUTASHINDA KWA MSAADA WA MUNGU.
 
Back
Top Bottom