Mwanga mpya wa demokrasia umewaka, kitovu chake ni Arumeru

DSC09379.JPG

Fedha kubwa ni tamu wakipewa chadema si ya ufisadi lakini wakipewa CCM ni ya ufisadi. Je tutafika tuendako?
 
Fedha kubwa ni tamu wakipewa chadema si ya ufisadi lakini wakipewa CCM ni ya ufisadi. Je tutafika tuendako?
Kwani Sabodo yupo kwenye kundi la EPA, RICHMOND,MEREMETA, TULAWAKI, BUZWAGI na mengineyo ya aina hiyo???????????Wengine hata leo tunapoandika wanakula CAPACITY CHARGE Tshs156,000,000/= kila siku sijui hadi lini zitasitishwa?????

 
Kweli we ni mpuuzi
Kwa nini kwenye kupokea hundi na vitu vingine huwezi kumuona Zitto na wengine? si ni naibu katibu Mkuu? sasa huyo Slaa kama anaumwa mkono kwa nini asiwakilishwe na Zitto? Ama kweli SAIDIA CHADEMA SLAA NA MBOWE WATAKATE
 
Kwa nini kwenye kupokea hundi na vitu vingine huwezi kumuona Zitto na wengine? si ni naibu katibu Mkuu? sasa huyo Slaa kama anaumwa mkono kwa nini asiwakilishwe na Zitto? Ama kweli SAIDIA CHADEMA SLAA NA MBOWE WATAKATE

Kweli wajinga hawaishi hata wasomeshwe vipi!
Kila taasisi ina taratibu zake za nani anatakiwa kupokea hundi au kitu kingine chochote. lazima katiba itumike siyo kwa matakwa ya mtu binafsi.
Hata Mohamed Bilal hawezi kuwepo kwenye mambo yanayomhusu rais.
Vile vile Nape hawezi kupokea Hundi kama yanamhusu katibu mkuu au mwenyekiti.
Acha kuwa mpumbavu mkuu amka!
 
Kama Watanzania wapenda demokrasia ya kweli wakiliona hili na kuripromoti la Arumeru kuchangia kampeini, hiyo inaweza kama si kuondoa kabisa basi kufuta mfumo wa CCM wa kuwapa watu rushwa ili wawachague!!!!! Watu waweze kuelewa kuwa anayekupa rushwa lazima anahitaji umchague kwa maslahi binafsi hana nia kabisa ya kukutetea bali anamalengo binafsi ya kujitajilisha!! Tufunguke watoa rushwa tuwaogope!!!!!!Viva CHADEMA viva Arumeru viva Joshua Nasari!!!!!!!!!!
 
Huwezi kumchapa viboko mtu mzima ukimlazimisha amchukie adui yako wakati kweke yeye ni lulu. Wananchi wa Arumeru tusidanganyike na hila hizi za Chadema. Walikuwa na kachumbari yao ya ufisadi ikachacha, wakaja na Chachandu ya CCM wanaiba kura wakawa wamezidisha chumvi sasa wameamua kuwakamua kwa kuwaomba muachangie fedha, wakati tayari mlishawachangia na wanazichukua kupitia ruzuku na sijui kama wanalitambua hilo kuwa ruzuku ni kodi zetu.
Mimi nimeshachanga elf 20. sina hata kadi ya CDM. unaisikilizaje hiyo? ukitaka jinyonge.
 
Mimi nimeshachanga elf 20. sina hata kadi ya CDM. unaisikilizaje hiyo? ukitaka jinyonge.
Ahsante saana Mkuu naomba wahamasichaji wa CDM waweke namba za kuchangia hapa jamvini ACCT, M-Pesa, Tigo na Zan-Tel ili tuweze kuchangia wadau wenye nia ya kuleta mabadiliko kwenye nchi yetu, viva CHADEMA!!!!!!!!

 
mtumishi wetu tumefurahi sana kuwa na mtu kama wewe huko vitani'sisi wana jf tunaomba ikiwezekana ukae uko hadi fainali'Dr slaa keshawasili huko?mambo gani hasa yanatia fora huko'mwelekeo unaonaje mkuu?mwigulu bado yupo huko au wameru walishamalizana naye?tupe kwa ujumla hali halisi
 
Back
Top Bottom