Mwandosya naye kaanza kuwachokoza CHADEMA?

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,009
2,171
Gazeti la NIPASHE, leo Tar 18, ukurasa wa 14 lina habari inayosema;

"Chadema yaapa kula sahani moja na Profesa Mwandosya"

Ni maelezo jinsi Mwandosya anavyokihujumu chama hicho kwa kuwarubuni viongozi wa CDM mkoni Mbeya. Anahusishwa pia na tukio la Shitambala kuhamia CCM na katibu wa CDM anasema ataanzisha operesheni kupambana naye kwa kuanika mabaya yake serikalini na ktk chama.

Mwandosya alijibu malalamiko kwa kusisitiza kwamba wakati Shitambala anahama, Kikwete alisema kahama bila shinikizo.
--------

Maoni yangu ni kwamba, nadhani tunahitaji sheria ya kuvilinda vyama juu ya mbinu/hujuma (conspiracy). Imekuwa ni kawaida kutumia pesa ili kukiharibia chama fulani. Iwe CCM, CDM, CUF, nk. Huu ni mtindo wa kitoto ambao unastahili kukomeshwa kwa sheria.

Kuhusu Mwandosya nadhani anajijengea tatizo. Baada ya kuwa amekaa serikalini muda wote huo naamini kuna mengi ambayo yakitajwa ni ya kumuangusha kisiasa na tumeyasikia sana na udhaifu wake ni mwingi.

Mbaya zaidi namuona kama anatengeneza udhaifu kwa makusudi maana anajifahamu kabisa kwamba ktk CCM yeye bado ni dhaifu. Ndo maana hata nafasi ya kamati kuu aliipata kwa taabu. Najua ni tamaa ya kurudi kwenye mbio za urais lakini angeachana na CDM kwa sasa aone jinsi Upepo unavyovuma ndani ya CCM. Tatizo lake amekuwa haonyeshi kabisa kwamba ni profesa, mtu aliye na sifa za kujifunza na kuiga siasa za mafanikio.

Shauri yake!
 
SIASA YA BONGO NA U PROFESA TOFAUTI kabisaa ,WAKO WAPI PFRO. Mwakyusa,Msola ?

Education is what remained in our heads after forgetting what we learnt!-B.F.SKINNER
 
Nasikia wanaanzisha operasheni Giant Ndosya, wanataka wamfundishe siasa za kupakazana ha ha ha watu wa Mbeya wanajijua wenyewe naona hataamini macho yake kibao kitakapo mgeukia manake kwa miaka mingi amekuwa kipenzi chao naona kawagusa pabaya
 
Gazeti la NIPASHE, leo Tar 18, ukurasa wa 14 lina habari inayosema;

"Chadema yaapa kula sahani moja na Profesa Mwandosya"

Ni maelezo jinsi Mwandosya anavyokihujumu chama hicho kwa kuwarubuni viongozi wa CDM mkoni Mbeya. Anahusishwa pia na tukio la Shitambala kuhamia CCM na katibu wa CDM anasema ataanzisha operesheni kupambana naye kwa kuanika mabaya yake serikalini na ktk chama.

Mwandosya alijibu malalamiko kwa kusisitiza kwamba wakati Shitambala anahama, Kikwete alisema kahama bila shinikizo.
--------

Maoni yangu ni kwamba, nadhani tunahitaji sheria ya kuvilinda vyama juu ya mbinu/hujuma (conspiracy). Imekuwa ni kawaida kutumia pesa ili kukiharibia chama fulani. Iwe CCM, CDM, CUF, nk. Huu ni mtindo wa kitoto ambao unastahili kukomeshwa kwa sheria.

Kuhusu Mwandosya nadhani anajijengea tatizo. Baada ya kuwa amekaa serikalini muda wote huo naamini kuna mengi ambayo yakitajwa ni ya kumuangusha kisiasa na tumeyasikia sana na udhaifu wake ni mwingi.

Mbaya zaidi namuona kama anatengeneza udhaifu kwa makusudi maana anajifahamu kabisa kwamba ktk CCM yeye bado ni dhaifu. Ndo maana hata nafasi ya kamati kuu aliipata kwa taabu. Najua ni tamaa ya kurudi kwenye mbio za urais lakini angeachana na CDM kwa sasa aone jinsi Upepo unavyovuma ndani ya CCM. Tatizo lake amekuwa haonyeshi kabisa kwamba ni profesa, mtu aliye na sifa za kujifunza na kuiga siasa za mafanikio.

Shauri yake!

Mkuu mbona una mawazo ya kitoto?
Tangu lini Mwandosya na CDM wakawa na mkataba wa kuoneana haya?
Kama unakitu against anybody kiweke hadharani kichambuliwe siyo kuleta siasa za woga, CDM iogopwe kama nani?
Afterall Shitambala , a learned person, alijua anachokifanya.
Sasa CDM should count its chickens na siyo mara tutamshitaki, mara tutamuanika huyu au yule, siasa za chekechea hizo-weka mambo hadharani.
 
CCM Gamba wameanza vitu vyao! kazi ipo safari hii!
 
Kumlilia Shitambala ni sawa na kutaka kuzoa maji yaliyoisha mwagika! No bora watu kama Shitambala kuondoka kwenye chama kuliko kubaki maana ni hatari sasa! Wakibaki watu kaka hawa mchana ni Chadema lakini usiku ni CCM!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
si mlitaka vyama vingi. lazima competition iwepo na rafu za kukwatuliwa kwa nyuma (tackling).
 
Freedom of speech na uhuru wa kuamua kufanya jambo,
Kuhama chama sio kosa,na halitakiwi kua kosa

Ni kweli mkuu.

Kilichoandikwa na kibaya ni conspirancy. Ndo imekuwa kawaida yetu. Imekuwa ni kati ya mtu na mtu mpaka watu wamegawa ubunge na wakati mwingine hata mazingira yametengenezwa kuhakikisha kwamba mtu fulani hafanikiwi. Huo ni uozo.

Mkuu mbona una mawazo ya kitoto?
Tangu lini Mwandosya na CDM wakawa na mkataba wa kuoneana haya?
Kama unakitu against anybody kiweke hadharani kichambuliwe siyo kuleta siasa za woga, CDM iogopwe kama nani?
Afterall Shitambala , a learned person, alijua anachokifanya.
Sasa CDM should count its chickens na siyo mara tutamshitaki, mara tutamuanika huyu au yule, siasa za chekechea hizo-weka mambo hadharani.

Soma vizuri basi!
Mbona hadithi ni fupi? Kweli hukuelewa kilichoandikwa gazetini au ni shabiki usiyeweza hata kusikia. Kweli Siasa na hasa kwa mtu kama Mwandosya (sijui naye ni learned kama unavyomusifu Shitambala?) ni kuvurugana?
 
Mwandosya ndiye mwenye jukumu la kununua viongozi wa Cdm Mby.Alimalizana mambo na Shitambala,tarehe 1-4,kwenye ofisi ya madini iliyopo jirani na airport mbeya,TUTAFIKA NAYE
 
Gazeti la NIPASHE, leo Tar 18, ukurasa wa 14 lina habari inayosema;

"Chadema yaapa kula sahani moja na Profesa Mwandosya"

Ni maelezo jinsi Mwandosya anavyokihujumu chama hicho kwa kuwarubuni viongozi wa CDM mkoni Mbeya. Anahusishwa pia na tukio la Shitambala kuhamia CCM na katibu wa CDM anasema ataanzisha operesheni kupambana naye kwa kuanika mabaya yake serikalini na ktk chama.

Mwandosya alijibu malalamiko kwa kusisitiza kwamba wakati Shitambala anahama, Kikwete alisema kahama bila shinikizo.
--------

Maoni yangu ni kwamba, nadhani tunahitaji sheria ya kuvilinda vyama juu ya mbinu/hujuma (conspiracy). Imekuwa ni kawaida kutumia pesa ili kukiharibia chama fulani. Iwe CCM, CDM, CUF, nk. Huu ni mtindo wa kitoto ambao unastahili kukomeshwa kwa sheria.

Kuhusu Mwandosya nadhani anajijengea tatizo. Baada ya kuwa amekaa serikalini muda wote huo naamini kuna mengi ambayo yakitajwa ni ya kumuangusha kisiasa na tumeyasikia sana na udhaifu wake ni mwingi.

Mbaya zaidi namuona kama anatengeneza udhaifu kwa makusudi maana anajifahamu kabisa kwamba ktk CCM yeye bado ni dhaifu. Ndo maana hata nafasi ya kamati kuu aliipata kwa taabu. Najua ni tamaa ya kurudi kwenye mbio za urais lakini angeachana na CDM kwa sasa aone jinsi Upepo unavyovuma ndani ya CCM. Tatizo lake amekuwa haonyeshi kabisa kwamba ni profesa, mtu aliye na sifa za kujifunza na kuiga siasa za mafanikio.

Shauri yake!

Mwandosya ndiye mwenye jukumu la kununua viongozi wa Cdm Mby.Alimalizana mambo na Shitambala,tarehe 1-4,kwenye ofisi ya madini iliyopo jirani na airport mbeya,TUTAFIKA NAYE

Kisiasa.......mnatakiwa kuendeleza propaganda za chama ili kukamilisha lengo la chama chenu.............In reality and technically inabidi muwe waangalifu sana hasa mnapowajaribu watu kama Prof Mwandosya na Dk. Magufuli...............kumbukeni wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu 2010 ilivyokuwa kule Kyela kwa Dr. Mwakyembe.................
 
Kwa maoni yangu
Ni bora Shitambala alivyoondoka kwani alitukosesha ubunge katika uchaguzi mdogo kwa makusudi mazima
and katika uchaguzi mkuu akafanya da same kwa kuongwa na ccm.
Nadhani ni kibaraka wa ccm.
 
Gazeti la NIPASHE, leo Tar 18, ukurasa wa 14 lina habari inayosema;

"Chadema yaapa kula sahani moja na Profesa Mwandosya"

Ni maelezo jinsi Mwandosya anavyokihujumu chama hicho kwa kuwarubuni viongozi wa CDM mkoni Mbeya. Anahusishwa pia na tukio la Shitambala kuhamia CCM na katibu wa CDM anasema ataanzisha operesheni kupambana naye kwa kuanika mabaya yake serikalini na ktk chama.

Mwandosya alijibu malalamiko kwa kusisitiza kwamba wakati Shitambala anahama, Kikwete alisema kahama bila shinikizo.
--------

Maoni yangu ni kwamba, nadhani tunahitaji sheria ya kuvilinda vyama juu ya mbinu/hujuma (conspiracy). Imekuwa ni kawaida kutumia pesa ili kukiharibia chama fulani. Iwe CCM, CDM, CUF, nk. Huu ni mtindo wa kitoto ambao unastahili kukomeshwa kwa sheria.

Kuhusu Mwandosya nadhani anajijengea tatizo. Baada ya kuwa amekaa serikalini muda wote huo naamini kuna mengi ambayo yakitajwa ni ya kumuangusha kisiasa na tumeyasikia sana na udhaifu wake ni mwingi.

Mbaya zaidi namuona kama anatengeneza udhaifu kwa makusudi maana anajifahamu kabisa kwamba ktk CCM yeye bado ni dhaifu. Ndo maana hata nafasi ya kamati kuu aliipata kwa taabu. Najua ni tamaa ya kurudi kwenye mbio za urais lakini angeachana na CDM kwa sasa aone jinsi Upepo unavyovuma ndani ya CCM. Tatizo lake amekuwa haonyeshi kabisa kwamba ni profesa, mtu aliye na sifa za kujifunza na kuiga siasa za mafanikio.

Shauri yake!
Mbona huyu Shaitambala tumeambiwa alikuwa mzigo kwa CDM? Mfanywe nini ili mridhike? Kuondoshewa mzigo si tendo la kumshukuru Mwandosya!
 
Huo sasa utoto. Unatakiwa kujua kwamba vyama vya siasa ni kama timu za mpira ua bendi za muziki na kila mtu ana hiyari ya kwenda nakotaka, iwe kwa ushawishi wa mtu au vinginevyo. Hivi ulikuwa hujazaliwa walipohama akina shibuda, mpendazoe, Prof. Kahigi, Tom Nyimbo, Alatanga Nyagawa na wengine wengi na kujiunga chadema. Ulisema nini? Je, kuna kiongozi yeyote wa CDM aliyenyooshewa kidole na kuapiziwa? Huo ni uchanga katika medani ya siasa na ni bora mkakaa kimya ua kutekelza hilo kimya kimya. Hivi nyie mnamuona Dr. Slaa kama Mungu na kuabudu kila analolisema. Maskini wee! That is modern day slavery!
 
Kumlilia Shitambala ni sawa na kutaka kuzoa maji yaliyoisha mwagika! No bora watu kama Shitambala kuondoka kwenye chama kuliko kubaki maana ni hatari sasa! Wakibaki watu kaka hawa mchana ni Chadema lakini usiku ni CCM!

Hii secretariat mpya ya Wilson Mukama lazima ijitofautishe na uvuvuzela wa jamaa zao wakina Makamba waliopita. Hakuna sababu yeyote kwa ccm kuwanunua wapinzani kwa fedha kama njia ya kuimalisha chama in fact kwa kuwanunua wapinzani kama wakina Kaborou, Hiza Nsanzugwako, Shitambala na wengine ni kukidhoofisha chama. Makamba na genge lake walikuwa wanafanya hivyo kwa kutaka njia za mkato kwani walikuwa hawana uwezo wa kujenga hoja dhidi ya wapinzani kwahiyo wakadhani kwa kuwanunua wale waliowafikiria kuwa wananguvu kwenye vyama husika wangeweza kudhoofisha vyama vyao!! Proof is in the eating; Kaborou alinunuliwa na Makamba na kuhongwa ubunge wa East Afrika lakini ikawa blessing kwa Chadema kwani baada ya kuondoka chama kimekuwa na nguvu mara dufu. Kuwahonga wapinzani sio suluhisho la udhaifu wa chama. Mukama should go back to the roots of TANU and AFRO SHIRAZ Parties where members had to swear that "NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO"
 
Sokile bwana kwa kuteteana!! Ofukozi, tutayasikia na kuyaona mengi kutoka 'wagombea watarajiwa' katika mbio za wanaotaka kuwania urais. Tuwe macho, katika Sekretariat mpya ya CCM yawezekana baadhi yao ama kila mmoja wao atakuwa na jina la mtu anayemtaka kuwa Rais 2015 kupitia tiketi ya CCM. Bila shaka watakuja na utaratibu ambao ni 'bullet proof'!!!
 
Mkuu mbona una mawazo ya kitoto?
Tangu lini Mwandosya na CDM wakawa na mkataba wa kuoneana haya?
Kama unakitu against anybody kiweke hadharani kichambuliwe siyo kuleta siasa za woga, CDM iogopwe kama nani?
Afterall Shitambala , a learned person, alijua anachokifanya.
Sasa CDM should count its chickens na siyo mara tutamshitaki, mara tutamuanika huyu au yule, siasa za chekechea hizo-weka mambo hadharani.

Mma popapo kikolo.
 
Mtendwa akitendewa hulia kwa sauti kubwaaa! Kwa nini na wao wasikwapue mtu mmoja maarufu ili kujibu mapigo badala ya kulia lia. They should give us a break!
 
Back
Top Bottom