Technology
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 769
- 284
Who is next??/
- Nilianzisha thread ya kuwafahamisha wananchi kuhusu suala zima la Malecela, sikusema watu watoe pole kama wewe unavyonilazimisha kwa nguvu, nilikuwa ninajaribu kuweka msingi muhimu kwamba kwa nini viongozi wetu wanatibiwa nje ni kwa sababu wanakuwa wameambiwa na wataalamu wetu bingwa kwamba waende huko baada ya wao hapa bongo kushindwa! na ni zoezi linafanyika Dunia nzima!
Willie @ NYC, USA.
Very silly hutoi pole kwa vile hata mzee wako hukumwombea pole sasa ulikuwa unawashukuru wanaJF nini michango ya pesa waliyotoa? ngoja mimi nikupe pole kwa mawazo yako.- Nilianzisha thread ya kuwafahamisha wananchi kuhusu suala zima la Malecela, sikusema watu watoe pole kama wewe unavyonilazimisha kwa nguvu, nilikuwa ninajaribu kuweka msingi muhimu kwamba kwa nini viongozi wetu wanatibiwa nje ni kwa sababu wanakuwa wameambiwa na wataalamu wetu bingwa kwamba waende huko baada ya wao hapa bongo kushindwa! na ni zoezi linafanyika Dunia nzima!
Willie @ NYC, USA.
Sio viongozi tu wanayotibiwa nje, magonjwa sugu ambayo hospitali zetu wanashindwa wanaomba Wizara inawapeleka nje.Wote uliowata ni wanasiasa ndio waliotusabishia umaskini. Wanajua vipimo hapa kwetu ni tatizo, dawa ndo hivyo hata vyumba godoro na kitanda shida. Wameamua wapate huduma bora nje ya nchi wakitumia hela nyingi walizotuibia watanzania huku watanzania maskini tukifa kwa njaa, umaskini na maradhi. Hata kama tuna maprofesa bila dawa na vifaa ni sawa na rubani akiwa hana ndege hivyo haitumii elimu yake kwa manufaa ya taifa.
na wewe utabaki duniani?wafe tu hawana mchango wowote kwa taifa sana sana watapunguza population na kuongeza ajira maana nafasi zao zitakuwa replaced
sikuombee vibaya lakini kaumwe gonjwa ambalo Muhimbili hawaliwezi na muombe dakitari wako aku refer wizarani wakupeleke India.Hivi kwa mfano mimi nikiumwa magonjwa kama hayo...kuna chance za kwenda India? Anyway Mungu awajalie afya njema...
utashangaa na Mwandosya anapona hata kama humtakii maishanomba wapone hasa lipumba
nashindwa kusema pole kwa mwandosya
maana yeye ni mmoja wa watanzania walioifikisha hapo
sector ya afya na huduma zake
masikini wengi wamekufa na magonjwa madogo madogo hali wao
wakilipwa maposho makubwa kama waziri kila nakokwenda analipwa milioni 1.2
kama posho, hata kama amekwenda kwenye semina ya wizara yake lazima walipwe
sasa hiyo pesa wanayokwapu tungeweza kuwa na hospitali za maana kwa ajili ya watanzania
wote, yeye sasa yuko india hapa nyumbani watu wanaendelea kufa hali wao ndio sababisho.
augue kwa kadri mungu apendavyo
May be!'Mungu' au 'mungu'Tuwekane sawa: Allah atamsaia lipumba na mungu wa kweli atamsaidia mwandosya
Hahahahahahaaa...... atakuwa nani huyo, Membe au Ngoyai?Mwandosya kashapigwa jugna juhi!! Siasa bana!
nashindwa kusema pole kwa mwandosya
maana yeye ni mmoja wa watanzania walioifikisha hapo
sector ya afya na huduma zake
masikini wengi wamekufa na magonjwa madogo madogo hali wao
wakilipwa maposho makubwa kama waziri kila nakokwenda analipwa milioni 1.2
kama posho, hata kama amekwenda kwenye semina ya wizara yake lazima walipwe
sasa hiyo pesa wanayokwapu tungeweza kuwa na hospitali za maana kwa ajili ya watanzania
wote, yeye sasa yuko india hapa nyumbani watu wanaendelea kufa hali wao ndio sababisho.
augue kwa kadri mungu apendavyo