Mwandosya: Kulikoni? Arudi tena India, Dr Mwakyembe achungulia ofisi

Mwamikili

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
417
137
Waziri wa maji mh. Mark Mwandosya amerudi tena nchini india kulikoni, serikali mpaka leo ipo kimya juu ya ungonjwa wake tatizo liko wapi? na Dr. Mwakyembe nae hajaenda ofisini hadi leo japo alichungulia ofisi siku moja?

Source majira ya leo
 
Jamani wanaccm muache unafiki ,mchukue maamuzi kulingana na matakwa ya mioyo yenu la sivyo mtakufa kimya kimya
 
Hivi ugonjwa wa Waziri hadi ufikie wa muda gani ndipo atakapoombwa kuachia ngazi?

Kwa ukaribu wake na JK?......Sidhani

ENZI+zetu.jpg
 
Sio waziri tu mwalimu kuna mbunge tangu achaguliwe hata kuapa hajaapa kwa ugonjwa! Ingawaje hatuwasemi kwa mabaya nadhani likizo ya maradhi haizidi miezi sita.
 
Kama Wizara inaweza kujiongoza kwa miezi na miezi bila ya Waziri basi waziri huyo hahitajiki tangu awali. Hilo la mbunge ni kuwanyima hao yao ya msingi wananchi kwa sababu ni zaizi ya mwaka sasa hawana mtetezi wa maslahi yao.

Ni jambo la Kiungwana kama huyo Mbunge na Waziri watajiuzulu kwa hiari yao, lakini kama hawatafanya hivyo, sheria inatakiwa iwepo kufuata mkondo.
 
hawa mawaziri wangeachia ngazi wao wenyewe kiungwana tu wapishe wenye afya njema wafanye kazi.Wao kwan hawaoni wanahitaji muda wa kutosha kupumzika kutengeneza afya yao?mie sio mpambe wa JK lakini kwa swala la wao kutoachia ngaz wanampa wakat mgumu yeye aliyewaweka hapo.Kwa maana nyingine sio waungwana na wala sio wapambanaji.Unapingaje ufisad wakat unapokea mshahara wa uwaziri na kaz hufanyi!!
 
ugonjwa ni siri kati ya DR wake na mgonjwa mwenyewe; sisi hatuwezi kuingilia na kutangaza; ongeeni na yeye mwenyewe atawaambia.
 
Kama Wizara inaweza kujiongoza kwa miezi na miezi bila ya Waziri basi waziri huyo hahitajiki tangu awali. Hilo la mbunge ni kuwanyima hao yao ya msingi wananchi kwa sababu ni zaizi ya mwaka sasa hawana mtetezi wa maslahi yao.

Ni jambo la Kiungwana kama huyo Mbunge na Waziri watajiuzulu kwa hiari yao, lakini kama hawatafanya hivyo, sheria inatakiwa iwepo kufuata mkondo.

Mwalimu,
Kujiuzulu ni gonjwa baya sana kwa wanasiasa wetu.....naambiwa wana kinga na chanjo maalum lisiwapate
 
mi nashindwa kuwaelewa kina Mwandosya kwanini hawataki kuweka wazi nini kimewapata?
 
hawa mawaziri wangeachia ngazi wao wenyewe kiungwana tu wapishe wenye afya njema wafanye kazi.Wao kwan hawaoni wanahitaji muda wa kutosha kupumzika kutengeneza afya yao?mie sio mpambe wa JK lakini kwa swala la wao kutoachia ngaz wanampa wakat mgumu yeye aliyewaweka hapo.Kwa maana nyingine sio waungwana na wala sio wapambanaji.Unapingaje ufisad wakat unapokea mshahara wa uwaziri na kaz hufanyi!!
Akiwaachisha watazidi kuchanganyikiwa na wataona wametupwa ,waache waombe wenyewe kuachishwa,mbona pia bado wabunge na hawajaomba kuachia ubunge,baado wana matumaini ya kurudi katika hali zao za awali.Pia tusimlaumu raisi je katiba inasemaje iwapo waziri anaumwa?hayo ndio watu pale mjengoni Dodoma hawataki kuyasikia,wanakazana kupiga meza pwa pwa
 
Kwa ukaribu wake na JK?......Sidhani

ENZI+zetu.jpg

Aise hii picha inaonyesha kuwa hawa jamaa walikuwa na mtazamo wa karne ya 20 na 21 kuchukua Urahisi wa nchi ya Wadaganyika. Check tu wanavoonekana. Yaani walikuwa wanawaza mbali sana.
 
Siasa za Tanzania ni mchezo mchafu.. Lazima kuna kitu watakuwa wamemfanyia huyo mzee wa watu.
 
ni bora wangetwambia mhe waziri anakabiliwa na tatizo gani ili tuelewe kwa sababu yule ni national figure
 
Kama Wizara inaweza kujiongoza kwa miezi na miezi bila ya Waziri basi waziri huyo hahitajiki tangu awali. Hilo la mbunge ni kuwanyima hao yao ya msingi wananchi kwa sababu ni zaizi ya mwaka sasa hawana mtetezi wa maslahi yao.

Ni jambo la Kiungwana kama huyo Mbunge na Waziri watajiuzulu kwa hiari yao, lakini kama hawatafanya hivyo, sheria inatakiwa iwepo kufuata mkondo.

Nafikiri tunapowaza mabadiliko ya katiba tuwaze pia muundo wa utawala katika wizara zetu...Waziri,Naibu,Katibu Mkuu,Naibu Katibu mkuu....kwa kazi zipi? Hapo kila mmoja kwa mwezi anatumia hela nyingi sana za posho,mafuta,matibabu,mshahara,mawasiliano na mengineyo....na tuweke utaratibu wa watu kulazimishwa kujiuzulu na sheria pale anaposhindwa majukumu yake kwa muda fulani.
 
Back
Top Bottom