Kwani aliyekuambia maneno ya kejeli ni kwa mtu aliye na afya njema pekee nani? Maneno mazuri hayawezi kumponya mtu..Ni unafiki wa mawazo...!!
Sikuelewi unachosema umeandika upambavu tu!
Kwani aliyekuambia maneno ya kejeli ni kwa mtu aliye na afya njema pekee nani? Maneno mazuri hayawezi kumponya mtu..Ni unafiki wa mawazo...!!
vichawi vya ccm vitakuwa vimesha mrushia mabomu.
Hivi Nape amewahi kwenda kumjulia hali baba yake huko India?
Baba yake yupi tena jamani?
Mzee wake siyo kwamba alishatangulia mbele ya haki? Hebu fafanua mkuu!!