Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,534
- 8,619
Hayo maclass unayoyataja hayana maana kuwa wengine wakatibiwe India na wengine Mwananyamala. Hao jamaa wanakwenda huko kwa vile ya hali mbaya ya Hospital zetu. Poor delivery kwenye public snd private sectors. No Wonder akina Jairo walitafuta mbinu mpya ya kupitisha bajeti za Wizara zao.
Imagine last month Rais wa Namibia aliumwa na alilazwa kwenye hospital za Namibia na wala hakusafirishwa kwenda RSA. Hivi sasa inasemekana Kaunda anaumwa na amelazwa Namibia. Sasa nchi kama Namibia ambayo haina hata medical school inauwezo huo inakuwaje nchi yetu ambayo ina medical school kama 5 inashindwa kutibu vigogo wake. Hapo utaona kuwa tatizo siyo watalam ila ni quality of service wameshindwa kuitengeneza kwao sasa wanaitafuta kwa wenzao.
...You are very right tatizo kubwa la Tanzania ni Vifaa...na weledi....yaani kwenye mfumo wote wa afya...unakuta mahali hata kama vifaa na madaktari ni wazuri ...paramedics unakuta wamesahauliwa [technicians] au manesi unakuta tatizo ....ili mfumo wa afya uwe umekamilika ...watumishi wote kwenye hospitali wanategemeana sana...tatizo hili linafanya madaktari wetu wakienda nje kuonekana wazuri sana kwani huko wanakuuta mfumo uliokamilika kwenye health service delivery yote!