Mwandosya bado mgonjwa, kalazwa huko India; miezi miwili sasa

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Prof-Mark-Mwandosya.jpg

Minister for Water, Prof Mark Mwandosya

The Minister for Water, Prof Mark Mwandosya, is still undergoing medical treatment at Apollo Hospital in India, where he was admitted about two months ago.

Prof Mwandosya’s wife, Lucy Mwandosya, talked to ‘Daily News’ on phone from India on Sunday and described his condition as “improving.”

“He is still going on with treatment and his discharge will largely depend on the doctor’s opinion. If the doctor is satisfied with his condition, he will discharge him,” she said.

Prof Mwandosya started feeling pains when he was attending the ongoing Parliamentary session in Dodoma last June.

He was rushed to Muhimbili National Hospital (MNH) before being referred to India for specialized treatment.

He was once quoted as saying that his condition was improving and that he was ready to return home any time and thanked all the people, including those in his Rungwe East constituency, for their prayers.
Source Tanzania Daily News
 
He was rushed to Muhimbili National Hospital (MNH) before being referred to India for specialized treatment. Hapa ndipo ninapowaona magamba hawana maana. Mbona sie wadanganyika huwa tunasota hapo hapo Muhimbili mpaka dakika ya mwisho na wala hatukimbilii India au UK? Ah!! Haya..!
 
Katika jumuia yoyote hatuwezi kuwa sawa ndio maana kuna madaraje Ist class, nd class, 3rd class etc, kutokana na wadhifa wake na kama matibabu yake hapa bongo haiwezekani kupelekwa nje siyo tatizo, nafikiri lengo la kumpeleka India ni ili apone haraka aje ahudumie wananch.
 
Nasikia bajeti ya wizara yake ya Maji ataisoma Mh Wassira. Hivi Naibu Waziri haruhusiwi kukaimu?
 
Katika jumuia yoyote hatuwezi kuwa sawa ndio maana kuna madaraje Ist class, nd class, 3rd class etc, kutokana na wadhifa wake na kama matibabu yake hapa bongo haiwezekani kupelekwa nje siyo tatizo, nafikiri lengo la kumpeleka India ni ili apone haraka aje ahudumie wananch.

Hayo maclass unayoyataja hayana maana kuwa wengine wakatibiwe India na wengine Mwananyamala. Hao jamaa wanakwenda huko kwa vile ya hali mbaya ya Hospital zetu. Poor delivery kwenye public snd private sectors. No Wonder akina Jairo walitafuta mbinu mpya ya kupitisha bajeti za Wizara zao.

Imagine last month Rais wa Namibia aliumwa na alilazwa kwenye hospital za Namibia na wala hakusafirishwa kwenda RSA. Hivi sasa inasemekana Kaunda anaumwa na amelazwa Namibia. Sasa nchi kama Namibia ambayo haina hata medical school inauwezo huo inakuwaje nchi yetu ambayo ina medical school kama 5 inashindwa kutibu vigogo wake. Hapo utaona kuwa tatizo siyo watalam ila ni quality of service wameshindwa kuitengeneza kwao sasa wanaitafuta kwa wenzao.
 
JK should appoint someone to fill the void. I reckon January will fit this position.
 
All significant figures in this country they prefer to go India for treatment, still in question WHY India and not ELSE WHERE like Japan, China, Russia, UK and USA. Most of them who went for treatments they return while their body parcked in the coffirn. JF members would like to why?
 
Wacha sisi wadanganyika tutibiwe Muhimbili au Mwananyamala, hao wanaotibiwa nje ya nchi wanatofauti gani na sisi? Mungu haongeki kama kufa ni kufa tu, mbona wengine wakienda hawarudi? Bora tungebanana hapa hapa hata hiyo hela wanayochezea iongeze vitanda au walete hao specialist kwenye hospitali za Taifa. Shame on you MAGAMBAS
 
Ni kweli Lina. Juzi tu tuliletewa mwili wa Lt General Mayunga toka hukohuko India. Nasikia wakubwa hawa hata kama imethibitika ni haka kamdudu bado wanapelekwa nje kwa "matibabu"!
 
Hawa viongozi wetu wanashangaza sana, hivi wao sio watu kama sisi wa chini? Mbona Mungu habagui huyu nani na huyu nani? Kupelekwa India au Marekani hakusaidii , waelewe ya kuwa siku ikifika imefika, mbona wengine wakienda kutibiwa huwa hawarudi hai? Huko ni kuchezea kodi zetu bora wangeboresha huduma kwenye hospitali zetu na kuwezesha madaktari wa Tanzania kufikia level ya hao wanaowafuata.
 
Pole kwao c 2tatibiwa hapa2 na kupona 2tapona na maisha yataenda km kawaida,Kambarage mwenyewe alienda Londön lakin wap! Km imefika popote pale
 
Back
Top Bottom