Mwandosya akiri - JF source kupata habari alipokuwa India

Mtandao huu ni pekee hapa nchini ambao uko huru. Kuna bloggers wengi tu ambao huchuja sana, na wengi wanahulka za kiitikadi. Zaidi ule unafahamiana na pengine umsifie kwanza ndio ......

Huu ni mtandao pekee ambao unatuunganisha watanzania po pote bila kujali itikadi, dini, kabila wala elimu.

Ndio Maana Naipenda JF ; Mtandao Kama "MiSupu" blog spot Nilikuwa naufagilia Hapo Mwanzo Ila kwa sasa Hadi aibu!! Full Itikadi!! Hadi sina Hamu tena ya Kuufungua!! Nadhani kwa weakness hii Mtu akianzisha Blogspot ambayo haipo Biased anaweza Kufunika sana!!
 
Pole sana mzee Mwandosya. Karibu nyumbani. Tunamshukuru Mungu kwa kukuponya na kukurudisha salama. Tuendelee kuungana kumuombea ndugu yetu Mwakyembe naye arudi salama.
 
Back
Top Bottom