Mwandishi wa ITV anusurika kupigwa na wafuasi wa CUF

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Kituo cha itv leo kimeripoti mwandishi wake kunusurika kupigwa na wafuasi wa cuf wakati wakichukua matukio katika mapokezi ya pr. Lipumba na kulazimika kuondoka mahali hapo
je hasira hizi za wana cuf kwa itv nini chanzo?
Nawasilisha.
 
Si kweli hizi habari ni za kuzusha mi nilikuwepo wakati mwandishi huyo alipokuwa akijibizan na mwanachama mmoja wa CUF katika mazungumzo yaliyokuwa baina yao ambayo kila mtu akizungumzia itikadi yake.hakuna kutishiana wala kutaka kupigwa mtu kulikotokea
 
Lazima kuna sababu, ila sishangai sana vyombo vya Mengi haviripoti +ve news yeyote ya CUF! Na walikuwa mstari wa mbele kurupoti ' kifo' cha CUF ingawa hakijatokea! Oops nilisahau Mengi ni mchaga, na wachaga wana chama chao!
 
Kwani cuf ina +ve za kujinadi kwa umma? ndio maana ujio wa lipumba unafanywa ishu kuuuuuuubwa!!!!!!!
 
Hii hesabu imetulia! CDM = CHRISTIAN DEMOCRATIC MOVEMENT

Wewe huwa unahangaika sana humu ukidhani unakomoa watu au unajaribu kuamsha hasira zao kuhusu Chadema na kabila la Wachagga; for your own information, Wachagga are an excellent tribe and when you associate Chadema with Christianity it gives the party even more credit because you are helping to prove that it is a civilized movement.
 
Civilized like LORD RESISTANCE ARMY ..is it?
 
Lakini CUF kuwapiga waandishi wa ITV si mara ya kwanza. Kumbukeni katika uchaguzi wa 2005 pale katika ofisi yao ya Buguruni.
 
Kwa mujibu wa Ismail Jussa walishindwa kule Uzini kwa kuwa kuna wakristo wengi na wabara...

Ukija katika ishu ya ITV mmiliki wake ni mkristo na pia ni m-bara, weka akili kichwani utajua kwa nini mtangazaji wa ITV alitaka kupigwa na wafuasi wa CUF
 
Kituo cha itv leo kimeripoti mwandishi wake kunusurika kupigwa na wafuasi wa cuf wakati wakichukua matukio katika mapokezi ya pr. Lipumba na kulazimika kuondoka mahali hapo
je hasira hizi za wana cuf kwa itv nini chanzo?
Nawasilisha.

Kwani ITV wenyewe wanasema ni nini chanzo wengine hatujaaangalia ni lazima waliotaka kumpiga walitamka jambo la kukerwa na mwandishi au kituo cha ITV
 
Si kweli hizi habari ni za kuzusha mi nilikuwepo wakati mwandishi huyo alipokuwa akijibizan na mwanachama mmoja wa CUF katika mazungumzo yaliyokuwa baina yao ambayo kila mtu akizungumzia itikadi yake.hakuna kutishiana wala kutaka kupigwa mtu kulikotokea

Kumbe mwandishi alienda pale naitikadi zake?Au unamaana gani?Alitumwa na ITV au nachama fulani?
 
Lazima kuna sababu, ila sishangai sana vyombo vya Mengi haviripoti +ve news yeyote ya CUF! Na walikuwa mstari wa mbele kurupoti ' kifo' cha CUF ingawa hakijatokea! Oops nilisahau Mengi ni mchaga, na wachaga wana chama chao!

Acha uchochezi!Kwamaneno yako hayo tu tumeshakujua wewe fisadi!Au kibaraka wao!Endelea hivyo uone mwisho wako utakuwaje?
 
Si kweli hizi habari ni za kuzusha mi nilikuwepo wakati mwandishi huyo alipokuwa akijibizan na mwanachama mmoja wa CUF katika mazungumzo yaliyokuwa baina yao ambayo kila mtu akizungumzia itikadi yake.hakuna kutishiana wala kutaka kupigwa mtu kulikotokea

Ndio maana aliyeleta thread kashindwa kueleza chanzo kutoka ITV wenyewe.
 
Back
Top Bottom