Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Nitawaletea International Airport Bukoba na Kigoma...
Kuna mchangiaji wa JF alisema hapa kuwa watu wenye utamaduni wa kujisaidia vichakani hawafai kuwa viongozi kwani hawataona ukosefu wa vyoo kuwa ni tatizo. Kwa hiyo wanafunzi 3,680 kutokuwa na vyoo kwao siyo ishu na kama wana matundu ya vyoo 20 basi wameendelea! Kama kiongozi yuko nyuma kuliko anaowaongoza, uongozi wake hauwezi kuwa wa kuwapeleka mbele anaowaongoza bali utakuwa ni wa kuwarudisha nyuma.