zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,628
- 3,155
Nimekuwa nikisoma makala za Mayage S. Mayage na kuna kitu nimegundua. Hayuko consistent. Ni wiki kama mbili zimepita aliandika makala kwamba sasa CCM must go kwa sababu chama kimeshindwa kuongoza na bila kusubiri, leo anasema eti haoni chama kinachostahili kuitoa CCM madarakani.
Lakini naelewa kwa nini ameamua kuwa pro-CCM kiasi hicho. Wiki iliyopita inasemekana alipokea sms kutoka kwa Dr. Slaa akimshutumu kuandika makala bila utafiti. Sasa kama vile analipiza kisasi.
Pamoja na yote watanzania hatutegemei maoni ya magazeti kututafutia viongozi. Chama bora na viongozi bora tunawajua sie wenyewe na maoni ya akina Mayage and the likes are irrelevant. Sasa naanza kuamini maneno ya Mtume Paulo kwamba wale wajidhaniao wana hekima wajiangalie wasije wakawa wanaonekana wajinga mbele za watu kwa upupu wao.