Mwandishi anaishi Mafichoni kutetea Usalama Wake.

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Baada ya Kifo cha Mwandishi Daudi Mwangosi wa Iringa, Yaliibuka Mambo Mengi, Likiwemo la Baadhi ya waandishi wahabari kutafutwa na Jeshi la Polisi wauliwe.

Mmoja ya wanahabari waliokua katika Red list ya Polisi ni Bw. Francis Godwin, Mwandishi wa kujitegemea kule Iringa
sasa hivi anaishi mafichoni kama inavyoonekana katika piach hizo hapo chini zinavyoonekana kwenye Blog yake.

[h=3]SIKU ZINAKWENDA WADAU LEO NIMEPATA KUTOKA NJE YA HOTELI [/h]

[h=3]HABARI ZA JUMAPILI WADAU WA BLOG HII [/h]
Napenda kuwajulisha wadau wote wa mtandao huu wa Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima kuwa mimi na familia yangu huku ugenini tunaendelea vema zaidi tunazidi kuiombea nchi yetu Tanzania na kumwomba Mungu awape hekima viongozi na askari wa jeshi la polisi yale ya Daudi Mwangosi yasije tokea tena
 
Huyo Francis anatakiwa atumie akili yake sawasawa. Anasema yuko mafichoni lakini anatuma picha zinazotoa clue yuko wapi. Speke resort inajulikama iko wapi and it is not a very safe place, not now anyway with those pictures!
 
Mkuu hyo ni kuwapoteza wanaomtafutaa,kumbuka Francis ni mpiga picha anaweza akaiphotoshop hiyo picha kwa akili ya harakaharaka hapo anawazuga wanaomtafute usikute yupo iringa anakula bata mtaa wa pili tu.
 
Natamani na mimi kama ni hivo ningekuwa mwandishi wa habari anaetafutwa na polisi ili niombe hifadhi nchi za maana,mbona mimi naona kama vile sasa ndo kapona kabisa maana isingekuwa si kutafutwa napolisi sidhani kama angekuwa hapo
 
Huyo Francis anatakiwa atumie akili yake sawasawa. Anasema yuko mafichoni lakini anatuma picha zinazotoa clue yuko wapi. Speke resort inajulikama iko wapi and it is not a very safe place, not now anyway with those pictures!

Mkuu huyu jamaa ni muongo na hii anatufuta publicity tu, Kwanza ni gamba gumu ambalo haliwezi kudhurika!
 
Mkuu hyo ni kuwapoteza wanaomtafutaa,kumbuka Francis ni mpiga picha anaweza akaiphotoshop hiyo picha kwa akili ya harakaharaka hapo anawazuga wanaomtafute usikute yupo iringa anakula bata mtaa wa pili tu.

Mbona inaonekana kuwa ni Photoshop kabisa?
 
jamaa anachofanya niujinga anataka kushindana na polisi kwa mwendo huu?

siamini polisi wanataka wamuuwe.sioni sababu au naweza kuwa siijuwi.

kama wamemuuwa mwangosi na watu wamelalamika hivo je wataweza fanya kosa hila mara nyingine? yeye hayupo iringa bali yupo dar au mkoa mwingine.

napewa taarifa zake na jamaa yake
 
Mkuu hyo ni kuwapoteza wanaomtafutaa,kumbuka Francis ni mpiga picha anaweza akaiphotoshop hiyo picha kwa akili ya harakaharaka hapo anawazuga wanaomtafute usikute yupo iringa anakula bata mtaa wa pili tu.

Ama, hayo maneno manake hata mie nishaanza kujiuliza,mafichoni gani na unatoa clues uko wapi. Kama ndo ivo sawa. All the best.
 
anatafuta sifa huyu kaona skendo ya polisi kumsaka imefifia now kaja na hizi picha.hebu jiulize jiulize kwa pesa ipi aliyonayo huyu mpaka akakae mafichoni nje ya nchi?
 
Mkuu hyo ni kuwapoteza wanaomtafutaa,kumbuka Francis ni mpiga picha anaweza akaiphotoshop hiyo picha kwa akili ya harakaharaka hapo anawazuga wanaomtafute usikute yupo iringa anakula bata mtaa wa pili tu.

Nilijiuliza maswali mengi sana. M2 anawezaje kuishi mafichoni halafu atoe picha za hoteli na jina la sehemu anakoishi?

Naunga mkono hoja ya kujitafutia umaarufu.
 
Hivi kwa akili ya kawaida nani atamdhuru wakati bado joto la mauaji ya Mwangosi halijapoa?

Kama kweli wanataka kumuua, hawezi kujificha, na kwanini kuogopa kifo hivyo? Kifo kipo popote pale,mtu anaweza akajikwaa tu na kuangukia jiwe ikawa mwisho wa historia. Chamsingi ni kusimamia haki, wangapi wametishwa na hawajaenda mafichoni bana....
 
Hapo Speke resort nilishawahi kukaam, Uganda. Mafichoni unakwenda kwenye hotel za Kitalii? Huyo Ameenda kutalii hana lolote mafichoni unapiga picha kama upo holiday. Hana lolote huyu aache kutudanganya kuwa anatafutwa, anataka kujipa jina kwa kutumia mgongo wa Polisi
 
Mkuu hyo ni kuwapoteza wanaomtafutaa,kumbuka Francis ni mpiga picha anaweza akaiphotoshop hiyo picha kwa akili ya harakaharaka hapo anawazuga wanaomtafute usikute yupo iringa anakula bata mtaa wa pili tu.

your right 100% ata godwin atajua umesema kweli
 
Back
Top Bottom