Mwandishi akutwa amekufa!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Sean hoare aliyetoa siri ya kashfa inayoikabili kampuni ya News of the Word ya udukuzi simu amekutwa amekufa nyumbani kwake watford,hertfordshire huko uingereza.Bwana sean hore aliyekuwa mwandishi wa zamani wa kampuni ya news of the world,ndiye aliyemtuhumu bwana Andy coulson kuandaa mkakati huo wa udukuzi wa simu.Chanzo cha kifo chake mpaka sasa hakijulikani.
 
Well - Yeye binafsi he knew it - kwamba kuuliwa was likely! Lakini ameleta mapinduzi ya dhati katika tasnia ya habari - RIP Sean!
 
Well, baada ya kuparticipate mwenyewe kwenye system hiyo aliamua kuachana na nao na kuheshimu right to privacy. kwa roho yake safi ao kwa kulipiza kisasi fulani hatujui. Ila kweli amefanya jambo la maana sana. Rest In Peace, your contribution to freedom will not be in vain.
On the other side tuelewe kwamba hizi nchi zinazo taka kutufunza demokrasia na uhuru zina kasoro vile vile na ukienda against watu fulani you will be killed, just on a finger snap.
 
Bwana Rupert mardock leo hii atakutana na wabunge wa uingereza uso kwa uso kuelezea kuhusu hilo suala la phone-hacking!
 
Pamoja na kuwa ameondoka ila ameufungua macho ulimwengu,ukweli umebainika..kumbuka mtenda hutendwa.
 
Back
Top Bottom