Mwanayumba...

MWANAYUMBA: PART II

Juni 2015

Ilikuwa siku ya Jumamosi, mwanzoni kabisa mwa mwezi huu wa sita. Nilikuwa nikiendesha gari kutokea baharini kwa kupitia njia hii ya kati ya Ikulu yetu ya Magogoni na Ikulu ndogo ya Zanzibar kama unaelekea hospitali ya Ocean Road. Safari yangu ilikuwa ikielekea Chuo cha Utalii. Nilipofika eneo la round about ile nikitaka kukunja kushoto kuendelea na safari yangu macho – yasiyo na pazia – yalielekea upande wa kulia ambapo kuna lango la kuingilia hospitali hiyo ya Ocean Road.


Niliiona sura ambayo ama kwa hakika haikuwa sura ngeni kabisa machoni pangu.

Itaendelea...


mshana jr, Arushaone, neggirl, Nyani Ngabu , Kongosho , Kabakabana, St. Paka Mweusi, Watu8, Yegomasika, Filipo, Chimbuvu, Baba V, Preta, Katavi, stevoh, snochet, Nicas Mtei, Kaunga, King'asti, lara 1 , masai dada , Mtambuzi, BAK, The Boss, MziziMkavu , General Galadudu , Kasinde, figganigga , Paulo Sergio De Souz , everlenk, Evelyn Salt , cute b , natafuta , ...coming soon!
 
Back
Top Bottom