Mwanaumme akivaa chupi ya mwanamke.kumbe wanawake hawapendi!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
A+man+holding+womens+knickers.jpg A+man+holding+womens+knickers.jpg
jamaa anaonyesha chupi ya bibie ambayo amekuwa akivaa na wapenzi wake wengine hata walimkimbia alipoyavulia maji...................na hata kabla hayajaoga nao walimkimbia...lol
 
Sio kuwa hatupendi, its just a warning sign ........only sissy can do that!
 
Hata mwanamke akivaa ya kiume hatupendi. Kwenye sekta hii kila mtu akae lane yake, tutabanana kule kwenye kuendesha ma-landcruiser na kupanda nguzo za tanesco.
 
ruta hiyo chupi ya ke aliyovaa ni ya nani? ka ni ya kwangu mm kama wife ningependa sana ila kama ni ya changu lol ugomvi wake hapatosh
 
Hata wakivaa wanaume chupi za kike haziwakai pia manake mapaja yao magumu kama yamemwagiwa zege,akivaa muhusika weeeeeeeeee utapendaaaaaaaa!.
 
inafanana na VIPI
Mkuu haijakidhi vigezo vya vipi, kwanza haina mistarimistari; halafu vipi hapo chini ilikuwa na kikamba chembamba hivi, kikikatika wakati unacheza mpira basi utaistukia vipi iko kichwani.
 
Mkuu haijakidhi vigezo vya vipi, kwanza haina mistarimistari; halafu vipi hapo chini ilikuwa na kikamba chembamba hivi, kikikatika wakati unacheza mpira basi utaistukia vipi iko kichwani.

Umentengua mbavu jamani...eti utaistukia hko kichwani.
 
Back
Top Bottom