Mwanaume wangu anaomba nisimwache ninampenzi mwingine

Hivi ni nini hasa ulichompa mpaka akununulie gari ungewaeleza na wenzako, maana mm akidengua nashuka napanda Daladala lingine mbona yako mengi tena yanayotangaza na mtandao wa tiGo?
 
Mwanaume wangu anajua haswa na mwanaume mwingine ananiambia usiniache nitakunulia gari simpendi hata kidogo sasa hivi.nifanyeje

Mwache haraka sana huyu jamaa anayekuahidi kukununulia gari inaonekana amekupenda sana na wewe humpendi. Kwani akikununulia gari halafu ukamwacha anaweza ama akakudhuru au akajidhuru. Nimeshashuhudia rafiki yangu akirukwa na akili baada ya kukataliwa na mwanamke aliyekuwa akimpenda sana na akawa amewekeza financially na psychologically kwa huyo mwanadada. Bahati mbaya yule bibiye alikuwa na mtu mwingine lakini akawa akendelea kupokea favours za huyu ndugu mshika pembe.
 
Mwanaume wangu anajua haswa na mwanaume mwingine ananiambia usiniache nitakunulia gari simpendi hata kidogo sasa hivi.nifanyeje
hebu naomba nikuulize swali kwanini uwe na wanaume wawili?
 
We mwenyewe ushasema ni mwanaume wako, so do what you damn right think is gud
 
Back
Top Bottom