Mwanaume wangu anaomba nisimwache ninampenzi mwingine

Mbona mnamshambulia huyu bidada kisa kaweka mambo yake hapa, maana hii ya kuchanganyana ndio fashion siku hizi, si wanawake si wanaume, isingekuwa mnawachanganya kila siku wanawake wangekuwa wanalia mapenzi yanawates, mnawachanganya ndo maana kila siku wanalia, sasa ngoja na nyie wanaume mchanganye ili muone raha yake.
 
Mwanaume wangu anajua haswa na mwanaume mwingine ananiambia usiniache nitakunulia gari simpendi hata kidogo sasa hivi.nifanyeje
Natalia leo umetuma nyuzi ngapi ukiwa na visa vyako binafsi vingapi manake nashindwa hata kukushauri.
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume wangu anajua haswa na mwanaume mwingine ananiambia usiniache nitakunulia gari simpendi hata kidogo sasa hivi.nifanyeje

Nawe ***** eti atannulia gari labda la toy...amekuona tamaa umeweka mbele that's y amekupa kamtego...
 
yalaaaaaaa.....nilikuwa nasema mie gari kisu cha kuchinjia wanawake. mfano ndio kama huu. sasa demu hampendi jamaa lakini kwa kuwa kahaidiwa gari basi ilisha anza kuthink possibility ya kumkubalia.

Umeona eeeh
 
Bramo hata tukeshe kwenye ile thread ya lifti...tatizo umeshindwa kuelewa siyo wanawake wote..!! Mie sijawahi panda lifti nisiyoijua na sitopanda..itabidi tukubaliane kutokubaliana kwenye ile issue ya lifti.

Leo nasikia umepewa lifti wewe, he he he!!

Kuhusu hii mada, dada angalia moyo wako ulipo..fanya maamuzi sahihi kutokana na uwajuavyo hao wanaume!!
 
Na wewe ndo lazima nikupe lifti kwenye bajaji yangu, Mtanikomaje mwaka huu!.
 
Akhaaah! lifti sijazoea mie..mie nina ki-touareg changu bajaji sipandi thiku hidhi..he he he

Kumbe wewe siyo mchoyo eeh??
Bajaji yangu ndhuri wewe, wewe napanda bure. Kama vipi ntakupitia hiyo mitaa ya Mtoni kwa Aziz Ali!.
 
Bramo hata tukeshe kwenye ile thread ya lifti...tatizo umeshindwa kuelewa siyo wanawake wote..!! Mie sijawahi panda lifti nisiyoijua na sitopanda..itabidi tukubaliane kutokubaliana kwenye ile issue ya lifti.

Leo nasikia umepewa lifti wewe, he he he!!

Kuhusu hii mada, dada angalia moyo wako ulipo..fanya maamuzi sahihi kutokana na uwajuavyo hao wanaume!!
Heheheheh, Afu yule Mdada aliyenipa lift baada ya kunipigisha story 2 3 Pale Kwa Manyanya sijui ni wewe utakuwa...
 
Uciteme bublish kwa karanga za kuonjeshwa..............SIYO LAZIMA UDOO UNAWEZA ENDA HOME NA KUCHIL 2UU!!!!!
 
yaani wewe ni kicheche mpaka hapo ulipo chukulia angekuwa yeye ndio anakuambia maneno hayo ungejisikiaje? fikiria kabla ya kutenda na siku hizi magonjwa ni mengi sana leo hii unakuja kwenye jamii hapa kujisifia kuwa na mwanaume mwingine hauna hata aibu au ni pepo la ngono au una laana???????????
 
Inaonekana wewe haujitambui. Hujijui wewe ni nani na unataka nini katika maisha haya. Endelea kushangaa kwanza, ila its better umuache huyo anayekupenda na unampenda maana utamfanya alie bila sababu. Kesho atakuja ambaye humpendi ila anataka akununulie treni.

Kicheko! Nimeipenda hii.
 
Back
Top Bottom