Mwanaume wangu anaomba nisimwache ninampenzi mwingine

Humo simo! Ila kiukweli kabisa hapo ni white elephant tu yaani unapewa ahadi kama sisiem walivyowadanganya wadanganyika. Heri ulale njaa na uende kwenye kibarua chako kwa mguu kuliko unachotegemea. All in all sikiliza moyo wako. Acha umalaya.
 
Mwanaume wangu anajua haswa na mwanaume mwingine ananiambia usiniache nitakunulia gari simpendi hata kidogo sasa hivi.nifanyeje
Pamoja na ukweli kwamba mwisho wa siku its you who should decide nani unakuwa naye lakini kuna wakati unatakiwa utumie kichwa zaidi ya moyo. Nakubaliana na wewe kwamba kama mapenzi yamekwisha kwa mtu then yamekwisha ila wakati unaendelea na mchezo wa mapenzi kwisha ufikirie pia how many times and how many men ambao utakutana nao na mwisho wa siku mapenzi yataisha?

Na je huyo unayeenda kwake sasa anakupenda the way unavyompenda wewe? Je haitafikia kipindi naye akapata mwingine kama wewe ulivyopata mwingine na akakuacha kama wewe unavyomuacha huyo mwingine? Just think tu then mwisho wa siku choose where you think is right coz bahati mbaya sana mapenzi hayana sana ushauri ila mahusiano ndio yanaweza kushauriwa
 
we make them cry who care 4 us,
we cry 4 those who never care 4 us
n we care 4 those who ll never cry 4 us.
Ths is d truth of life, its strange bt true.

Nambe napenda saaana hizi quote zako
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuuliza. Samahani lakini. Wakati u(m)nakua mama yako alikuwa na wanaume wangapi? Naomba nijibu nitakushauri vzuri manake tabia hizi nyingine watu mnarithi toka kwa wazazi wenu.

Mzazi wangu I wish ungumjua ni alikuwa katibu mkuu wa Wizara nyeti na sass ni siwezi kumaliza.one marriage for 40 years .mwanaume wangu penzi limeisha na hana kazi .amenioa akiwa na kazi
 
Pamoja na ukweli kwamba mwisho wa siku its you who should decide nani unakuwa naye lakini kuna wakati unatakiwa utumie kichwa zaidi ya moyo. Nakubaliana na wewe kwamba kama mapenzi yamekwisha kwa mtu then yamekwisha ila wakati unaendelea na mchezo wa mapenzi kwisha ufikirie pia how many times and how many men ambao utakutana nao na mwisho wa siku mapenzi yataisha?

Na je huyo unayeenda kwake sasa anakupenda the way unavyompenda wewe? Je haitafikia kipindi naye akapata mwingine kama wewe ulivyopata mwingine na akakuacha kama wewe unavyomuacha huyo mwingine? Just think tu then mwisho wa siku choose where you think is right coz bahati mbaya sana mapenzi hayana sana ushauri ila mahusiano ndio yanaweza kushauriwa
Napenda shopping Hana pesa
 
Mwanaume wangu anajua haswa na mwanaume mwingine ananiambia usiniache nitakunulia gari simpendi hata kidogo sasa hivi.nifanyeje

Huyo mme wako hana akili hata kidogo, kwani anakuona wewe tu ndo mwanamke?
 
Sasa shosti ile kwa shida na raha kwako uliichukulia vipi!!!?? Au uliolewa kwa fashion bi dada??
 
Aiseee....Napendekeza wanaomba ushauri humu at least wawe wanaweka umri wao. Maana unakuta mwingine anaomba ushauri kumbe mambo mengine ni katika process tu za kukomaa, akikua mwenye atajua cha kufanya. pia kuna namna tofauti ya kumshauri teenager na mtu mzima. Kama huyu nahisi atakuwa teenager!
 
Napenda shopping Hana pesa
Dah this looks like "Mkono mtupu haulambwi" for me this is purely business so what are you giving in return? Kama mtu anakupa hizo pesa za kufanyia shopping?
 
Napenda shopping Hana pesa

wewe pesa unazo? Kama huna na hujui jinsi ya kuzitafuta ndo maana mumeo amekwama unataka kumuacha, wewe ndo aina ya wanawake mnaoishi kwa kutegemea wanaume, utamaliza wanaume kwa kusaka pesa za kuhongwa badala ya kujishughulisha utafute pesa zako mwenyewe....
 
Mbona mnamshambulia huyu bidada kisa kaweka mambo yake hapa, maana hii ya kuchanganyana ndio fashion siku hizi, si wanawake si wanaume, isingekuwa mnawachanganya kila siku wanawake wangekuwa wanalia mapenzi yanawatesa, mnawachanganya ndo maana kila siku wanalia, sasa ngoja na nyie wanaume mchanganywe ili muone raha yake
 
unasoma darasa la ngapi? maskini gari tuuu? haya mama kazana kesho utakutana na mwngne anataka kukununuia ndege asa cjui utajigawaje.
 
Bramo,
nimekuja, ila hapa naona kesi tofauti....
Hapa kuna kesi ya binti teenegee ambaye bado hajajitambua.....
Na kama sio teeneger ni binti ambaye havuki 25, aliyelelewa kimayai mayai....
Mwenye marafiki wa kimjinimjini....
Ambaye anadhani maisha ni isidingo the need, au egoli place of gold.....
Ambaye anadhani chini kutamnufaisha....
Ambaye anapima upendo kwa pesa...
Anayedhani kuendesha gari na kupata lunch hyatt ndo maisha....

Ni binti ambaye anachipukia
hajui maisha...
Hajui kujishughulisha na kutafuta
amezoea kuletewa....

Anayechukulia kuwa Wanaume ni wakuwatumia kupata raha ya kimwili na kupata fedha.....

Huu ndo mtazamo wangu.....

Mleta mada ana njia ndefu sana mbele yake..... Aweze kukua na kukomaa kiakili na kimwili.... Mtazamo huu nimeupata kutokana na kusoma thread zake kadhaa....

Somehow , somewhere hana tofauti na jane000
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom