Mwanaume wangu anaomba nisimwache ninampenzi mwingine

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Mwanaume wangu anajua haswa na mwanaume mwingine ananiambia usiniache nitakunulia gari simpendi hata kidogo sasa hivi.nifanyeje
 
Inaonekana wewe haujitambui. Hujijui wewe ni nani na unataka nini katika maisha haya. Endelea kushangaa kwanza, ila its better umuache huyo anayekupenda na unampenda maana utamfanya alie bila sababu. Kesho atakuja ambaye humpendi ila anataka akununulie treni.
 
its ur time kuwalingishia na kuwasumbua wanaume utakavyo, nakushauri funga safari urudi kijijini kumsalimia bibi, ukifika baada ya salaam muangalie kwa umakini halafu UTAPATA JIBU KWAMBA HATA YEYE ALIWAHI KUWA BINTI.
 
Mwanaume wangu....then una mwanaume mwingine?????!! Inaelekea upo ki-material sana wewe,ndo maana akaamua kuku promise Vitz ili usimwache...sio bure!
 
Ngoja nikae hapa pembeni nifanye maombi maalum kwaajili yako ili mungu akusaidie upate gari kwa nguvu zako,usije ukafa kwa kupenda magari ya wengine!

Heee mungu umsaidie huyu!
 
yalaaaaaaa.....nilikuwa nasema mie gari kisu cha kuchinjia wanawake. mfano ndio kama huu. sasa demu hampendi jamaa lakini kwa kuwa kahaidiwa gari basi ilisha anza kuthink possibility ya kumkubalia.
I Like this. Na kuna mtu anaitwa Bramo, akiiona hii post lazima aisindikize na LIKE!

Gari ni uchawi kwa wanawake!
 
Last edited by a moderator:
Loooh! asara mie ningekua wewe hata ***** huu nisingeandika,ivi umekaa ukafikiri kwanza? unajua nini maana yakupenda
au kupendwa? huyo unaesema unampenda usidhani anakupenda sababu umetoka kwa ulokua nae bila sababu yamsingi kisa unampenda mwengine unaelekea moyo wako mkubwa sana unanafasi nyingi zakupenda......
 
Baadhi ya wanawake mshazoea kuifanya mioyo ya wanaume kama ngoma.. mwapiga mtakavyo.. mtuonee huruma basi.. dah
 
its ur time kuwalingishia na kuwasumbua wanaume utakavyo, nakushauri funga safari urudi kijijini kumsalimia bibi, ukifika baada ya salaam muangalie kwa umakini halafu UTAPATA JIBU KWAMBA HATA YEYE ALIWAHI KUWA BINTI.

You are indeed wise!
 
kama ulikuwa haumpendi ulikuwa nae ili iweje?Wewe utakuwa malaya,mpumbabu mkubwa Wewe,?acha kujiuza

Nakuunga mkono mkuu, Umalaya utamuua huyu *****, hapo gar hupat, utachezewa tu akishakuchoka PIGWA CHINI, Na yule umpendae nae haita chukua muda atajua tu then PIGWA CHINI. Kwan upo wap saa hiz?? Em njoo hapa Bar ya nyuma kwenu, kuna mteja..!
 
Sasa ulimkubali vipi tangu mwanzo wakati haumpendi?Hivi wanawake siku hizi mnaona sifa kutuchanganya wanaume eenh?Siyo vizuri kabisa unachomfanyia mwenzio. Hebu tulia na huyo uliyenaye ...Huna hayaa??
 
Yote maisha binti,

Chukua mkoko ujitengenezee jina town wewe Natalia....Binti gani anapenda kukimbizana na daladala na kunuka kikwapa??

Bahati haiji mara mbili....Shauri yako...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom