Mwanaume wa kwanza kwa mwanamke eti ana access muda wowote, hata akiolewa?

Hahahaha! Utabiri unaanza kuonekana! Kuna mtu anaandaliwa talaka hapa! Nguli ana kesi ya kujibu hapa! Nguliiiiiiiiiiiii! Where are you man?

I saw this comming....nimesha MP tukutane pale TEGETA leo jioni tumkasneli ndio maisha inauma ila tufanyeje sasa na ndio maana hii thread imekosa wachangiaji ni wachache sana wana huu ujasiri.
 
Ndugu yangu Nguli, huo ujasiri mwingine unaotafuta ni wa hatari sana. Kwa nini watu wajadili mada ambazo ni sawa na kujifanyia promotion ya kifo chao? No one wants to keep painful facts in his or her minds. Inapunguza lifespan. Why do it if not the matter of death or life?
 
Kweli DC, Nguli narudia tena umeleta balaa uku kaka
 
kinachotakiwa ni kuomba mungu mwanamke wako(kama hujam-bikiri wewe) ASIKUTANE NA MTU ALIYEVUNJA KIKOMBE CHAKE!akikutana nae ''hana ujanja'' lazima avue

Hebu acheni kutukosea heshima yaani mnatufanya wanawake wote hatuna akili, hatuthamini miili na nafsi zetu na wala hatumwogopi mwenyezi MUNGU!! Eti anaweza kumvulia nguo mwanaume wake alombikiri jamani mwanamke kama mwanamke anayo heshima na utashi wake.

kwa mwanamke ambaye ana mapenzi ya kweli atamheshimu mumewe na hata aje kinyangarika gani kumshawishi mwanamke anayejiheshimu hatetereki hata kama huyo mwanaume ndo alikuwa wa kwanza kumfundisha namna ya kuvua chupi. Hao wanaofanya hivi kwa taarifa zenu ni wanawake ambao hawajakamilika huweziwaita wanawake wanaojiheshimu. Inapofikia mahali wewe kama mume unadoubt mkeo eti akikutana na first man wake atamvulia unastahili pole kubwa maana kama ana uwezo wa kufanya hayo basi si mwanamke anayejiheshimu.

Ndio eh ni hayo tu.
Aksanteni
 
UNAINGIA WAKATI NDO TUNAONDOKA?
see you kesho kwa mazungumzo zaidi
 
Si unajua tena mwakani uchaguzi lol nagombea ubunge wa vitanda maalumu!!

icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
Hi mwanajamii umenichekesha
 
Back
Top Bottom