Mwanaume wa kwanza kwa mwanamke eti ana access muda wowote, hata akiolewa?

Tabia ya Mtu Tuu Jamani mimi nishaona rafiki yangu yuko na mchumba wa mtu ndani ya L/Mark twanga jamaa liko safari , na baada ya Harusi akaendelea kula mzigo mpaka demu akaomba wazae mtoto wa kumbukumbu na jamaa sio aliomvunja Bikira sasa sijui alivunja bado alikuwa anapewa nafikiri ti tabia TUU !!
 
Kwani kuna mtu aliyelalamika? Swali ni kuwa aliyekubikiri akikutokea una jeuri ya kumkatalia?

kuwa bikra au sio bado ni very personal na sio lazima niweke public kama hapa.Hii mada I think ni very general na haimlengi ZD kama ZD.Ila kama unahitaji jibu subiri CHUMBANI nitakujibu.
 
kuwa bikra au sio bado ni very personal na sio lazima niweke public kama hapa.Hii mada I think ni very general na haimlengi ZD kama ZD.Ila kama unahitaji jibu subiri CHUMBANI nitakujibu.

Am waiting! Umekula senksi hapo!
 
hakuna ukweli wowote, ni imani tu!

mimi nina mpenzi mchaga, nimeanza nae mwaka 2003, siku moja mwaka 2006 aliyembikiri alitaka kukumbushia, aliishia kuzomewa mtaa mzima kabla hajalala polisi kwa masaa kadhaa, kabla sijamsihi mwenzangu amsamehe na amtoe ndani! ndpo siku hiyo ndiyo niliyomjua aliyembikiri mpenzi wangu!

tahadhari:
kuna wengine hawaingiliki kwa kisingizio cha kumbikiri, hasa waliopata psychological training!
 
Hahaha! Ulitegemea angemkubalia mbele yako? Stuka!
 
Mzee kwenye hii thread kuna NDOA itaathirika LAZIMA! Unagongea msumari wa moto wa nchi 56

Hahaha! Umerudi? Ndoa zikivunjika nguli una kesi ya kujibu. We thread nzima SHE aliyekuwa na jeuri ya kuchangia alikuwa mmoja tu! LOL! Wengine wote wamesepa!
 
Sikutaka kuongea lakini.....
Mbona nyie mpo biased sana na hii mada.Mnawafocus wanawake wakti hakuna watu used kama wanaume.kwani nyie huwa mnakuwa bikra wakati wa kufunga ndoa? au na nyie wanawake wa kwanza wana access muda wowote? Katika wanaume 10 yani ni 1 tu ndio huwa anakuwa bikra wakati wa ndoa.Nanyie mnaona halali yenu kabisaaa.
wanaume hatupaswi kuwa mabikira!uzoefu wangu mdogo tu ni kwamba mwanamke akishaprove kwamba wewe ni bikira ANAKUKACHA:D
 
Here I am! Ila ukweli ni kuwa presha haipandi wala kushuka kwa sababu nimeikubali hali halisi na naamini mke wangu ni mwaminifu! Thats all! Nategemea na wengine watakuwa wawazi kama mimi. Ngoja tusubiri tuone!
SAFIIIIIIIIIIIIIIIIII!senksi
nafurahi kwamba umekubali matokeo
next...............?
 
Mkuu hakuna haja ya kuwa na pressure. Ukiujua na kuukubali huo ukweli basi utakuwa huru daima. Kwa hiyo mambo ya mkeo kumegwa au kutomega yanatakiwa kuwa kitu kidogo sana. Yasiumize roho yako. Ukiyatanguliza mbele ujue umekwama kabisa. Hata kazini hutakwenda kwa sababu jamaa wanaweza kuja home wakamega. Kwa hiyo bado nashauri kuwa inabidi tuishi kwa ile kitu niliita juzi "KANUNI YA IMANI" kama ilivyo kwa wakatoliki (i.e kuna Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu). Labda niongeza kuwa kuna kitu kingine kinaitwa "FUMBO LA IMANI" (wakatoliki wanalazimika kuamini kuwa, Kristo alikufa, Kristo alifufuka na Kristo atakuja tena). Mnaotaka matatizo endeleeni kufumbua hayo mafumbo.

Lakini pia tujiulize, mbona wanaume hatujiulizi mara mbili mbili linapokuja suala la kutafuta mapozea, iwe nje ya ndoa au ya mahusiano? Tuelewe tu kuwa, mkuki kwa nguruwe... na mwosha huoshwa!
safi!
nafurahi umeikubali hali!
SONGA MBELE
 
kuwa bikra au sio bado ni very personal na sio lazima niweke public kama hapa.Hii mada I think ni very general na haimlengi ZD kama ZD.Ila kama unahitaji jibu subiri CHUMBANI nitakujibu.
maneno mazito mno!
siwezi kuyabeba!
naomba turudi kwenye swali la msingi,ETI NI KWELI?:D
 
What goes around comes around.Mtulie basi,Kama unammega Mke wa mwenzio kwa kisingizio kuwa ulimbikiri jua na wewe wa kwako anamegwa na wale waliombikiri.

Mbaya zaidi Mnao wake,Na wale age yenu mliowabikiri mnawamega bado mnatafuta na watoto wa shule nao muwabikiri,Dah huu uchafuzi wa mazingira inabidi ujadiliwe Copenhagen.
hiyo black haizuiliki mama!ni human NATURE!:D
 
Back
Top Bottom