Mwanaume wa kwanza kwa mwanamke eti ana access muda wowote, hata akiolewa?

Wala sio maumivu wala nini i just hate him....
miaka kibao imepita sijawahi kumuona majuzi kati akanikuta nimekaa mahali
baada ya salamu akaniuliza swali lililonipa kichefuchefu "huko unapokaa hakuna anaeniibia" nilitamani nimpige kwenzi.

huna lolote...........
 
...mbona wanawake wanakigugumizi kukanusha huu uzi..? njooni mkanusha jamani tuwe na amani waume zenu,mko wapi ua ni kweli...? tinna cute uko wapi...?

Aiseeeeee,,,,, unataka jamaa aniache jamani!!!!!!!!!!!!!!!
Mie hata simkumbukagi alienibikiri tena cku nikimuona lazima nimchambe sana.....
Maana cku iyo sikuckiaga utamu wala nn but nilikutana na bad boy mmoja ivi never forget him.
 
Last edited by a moderator:
Eti ni kweli??

ukweli ni huu kwa mijanaume mingi bikra kwao ina maana sana ila kwa wanawake haimaanishi chochote kwa wanawake bikra wanatazama kama lack of orpotunity but kwa wanaume wao ni sense ya ushujaa na sifa

turudi kwenye hoja ya msingi kuhusu mwanaume wa kwanza kumbikiri mwanamke atakua na nafasi gani
mapenzi ndio yanayomata kama wewe una sifa zilizompendeza mwanamke lazima atakupenda wewe na hatokusaliti hata kama hujambikiri
wanawake wengi wametolewa bk na watu ambao hawakuwapenda kama sio kuwaridhia toka moyoni bali kutokana na ushamba wa mapenzi uliowatala kipindi hiko cha makuzi yao na kutokua na direction ya mtu sahihi ni yupi

mwisho integemea na chanzo cha kuachana kwao kama kwa kufumaniana jua kua hata karibu ni kazi swala la kukumbushia linabakia kwenye mapenzi ya mkeo kwako kwamba hawezi kukusaliti ama la iwe kwa huyo aliembkiri au asie mbkir unaweza ukambikiri na kabla ya kumuoa siku moja angaenda kwa mtu wake anaumkuna vizuri
 
Back
Top Bottom