Mwanaume wa kuchat nae

Kulikuwa na uzi uliletwa humu jamaa akisema eti 2016 hatahangaika kumridhisha mwanamke, kama mwanamke anataka kuridhishwa alipie.

Siyo hela atoe mwanaume halafu mwanamke ndo atafute kuridhishwa, na kwa huyo dada kwa sababu yeye ndo anataka kuflirtishwa inabidi alipie, maana yeye ndo mhanga.
Na mimi nataka kugegedwa na wew. Vipi nilipie wapi au utanifanyia bure?
 
Habari zenu?

Natafuta mwanaume wa kuflirt nae, yaani chart za hapa na pale awe tayari kuwa rafiki yangu pia.

Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele, mimi nina miaka 30 pia.

Ambaye yupo huru na anajiamini ani PM.

Mh, hebu ngoja niku-pm bhana, lakini nina wasiwasi kweli na uandishi wako, au labda ni mtelezo tu.
 
Habari zenu?

Natafuta mwanaume wa kuflirt nae, yaani chart za hapa na pale awe tayari kuwa rafiki yangu pia.

Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele, mimi nina miaka 30 pia.

Ambaye yupo huru na anajiamini ani PM.
Njoo PM
 
Jameni mnisaidie, kiswahili hichi kigumu; Kuflirt ndiyo nini? Isijekuwa kuamshana nyege tu nasikia siku hizi ati kuna mapenzi ya simu isijekuwa ndo hayo maflirt.
Ka ni hayo, monica sikupendi, utaniletea balaa na mume wako wa juzi tu hata miezi miwili bado na ulisemaga atii akutosheleza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom