Mwanaume wa kuchat nae

Yaani mi naomba hii Jf upandee huu Wa hili jukwaa uitwee low thinkers...ivi ninyi mijituu yeye kwashakoo ya kwapani kwa nini mnapenda kuharibu nyuzi za wenzenuuuu..huyoo Dada kakoseaa wapii.umeona huna vigezo unapita hivi...kwa nini enyi Malofaa Wa Mkapa.....nyaaau type......eti uzee Mara mi zipo tayari mara mtaani umekosaa Mara unajiuzaa sasa nyiee mbuziii mmefunguaa huu uzii ili iwejeee majukwaa ya Mapishii hamkuyaonaaa webSmart 911,Na Nyani Ngabu Na wenziooooo...mnijibu muonee Na wotee nawajua mnapoishi msidhani mgeni humu ndaniii......punguaniii kasorooo mikiaaaa
Hee! Sasa mbona hasira tena?
 
Hebu acheni utoto, mtu yuko serious halafu mnaleta utani. Kama hujui raha za mahusiano kaa kimya tu fuatilia siasa. Hebu njoo inbox tuyaweke mambo sawa.
 
Baada ya mumeo kukunyima unyumba kama ulivyo sema hapa Mume wangu ananinyima unyumba
Ndo umeamua kutafuta mwanaume wa ku flirt nae? Kwenye uzi huo sikuona mtu aliyekushauri hivyo.
sijakuja kuomba ushauri hapa, ukitaka kushauri nenda kwenye huo uzi.
Baada ya mumeo kukunyima unyumba kama ulivyo sema hapa Mume wangu ananinyima unyumba
Ndo umeamua kutafuta mwanaume wa ku flirt nae? Kwenye uzi huo sikuona mtu aliyekushauri hivyo.
 
Yaani mi naomba hii Jf upandee huu Wa hili jukwaa uitwee low thinkers...ivi ninyi mijituu yeye kwashakoo ya kwapani kwa nini mnapenda kuharibu nyuzi za wenzenuuuu..huyoo Dada kakoseaa wapii.umeona huna vigezo unapita hivi...kwa nini enyi Malofaa Wa Mkapa.....nyaaau type......eti uzee Mara mi zipo tayari mara mtaani umekosaa Mara unajiuzaa sasa nyiee mbuziii mmefunguaa huu uzii ili iwejeee majukwaa ya Mapishii hamkuyaonaaa webSmart 911,Na Nyani Ngabu Na wenziooooo...mnijibu muonee Na wotee nawajua mnapoishi msidhani mgeni humu ndaniii......punguaniii kasorooo mikiaaaa
Za saa hizi ndugu
 
Habari zenu?

Natafuta mwanaume wa kuflirt nae, yaani chart za hapa na pale awe tayari kuwa rafiki yangu pia.

Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele, mimi nina miaka 30 pia.

Ambaye yupo huru na anajiamini ani PM.
Hello naitwa amana 30yrs...interested to be your friend!!! In Dar..you?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom