Mwanaume wa kuchat nae

mwanaume we una kuflirt bure ?

Kulikuwa na uzi uliletwa humu jamaa akisema eti 2016 hatahangaika kumridhisha mwanamke, kama mwanamke anataka kuridhishwa alipie.

Siyo hela atoe mwanaume halafu mwanamke ndo atafute kuridhishwa, na kwa huyo dada kwa sababu yeye ndo anataka kuflirtishwa inabidi alipie, maana yeye ndo mhanga.
 
hapana bana ila mtakubaliana
 
Habari zenu?

Natafuta mwanaume wa kuflirt nae, yaani chart za hapa na pale awe tayari kuwa rafiki yangu pia.

Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele, mimi nina miaka 30 pia.

Ambaye yupo huru na anajiamini ani PM.
nipe namba zako
 
Huku umwnyimwa unyumba huku unatafuata mwanaume wa kuchat nae. Nakuhakikishia ukimpata huyo mwanaume utaishia kuchepuka nae
 
Habari zenu?

Natafuta mwanaume wa kuflirt nae, yaani chart za hapa na pale awe tayari kuwa rafiki yangu pia.

Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele, mimi nina miaka 30 pia.

Ambaye yupo huru na anajiamini ani PM.
Kuchelewa kuzaliwa nako tabu kweli dah kila anayetaka rafiki wa kiume jf anataka above 30
#disappointed
 
Similar Discussions

17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom