Mwanaume wa aina tumwiteje

sio dogo ana miaka 38

Ah! Miaka 38 ni mzee kabisa huyo, huwezi kumbadilisha tena. Waambie watu wazima waongee nae labda ana matatizo makubwa zaidi ya hayo. Maana si kawaida kwa umri huo kufanya mambo hayo.
 
fukuzia mbali kama ubaya na iwe ubaya
cha kujifia nini? hv na unyumba unampa?

Amfukuzie wapi wakati mwenzenu anakunwa mpaka kuna waka moto mama akirudi jioni toka kazini jamaa kazi moja tu kuwasha mtarimbo na kusugua sawa sawa
 
Kwahiyo na wewe kama jamaa tu? Kazi kulelewa na mwanamke?

Mimi sipo kwenye kundi lolote. . . najitegemea!!

Mi nalea wanawake mpaka na kazi namwachisha kabisa unaweza pata bahati hiyo ya kulelewa na mwanaume
 
Mi nalea wanawake mpaka na kazi namwachisha kabisa unaweza pata bahati hiyo ya kulelewa na mwanaume

Sasa mbona wewe hujaoza pamoja na jamaa?
Ukipenda kugeneralise hata wewe usijisahau. . .

Nwy kulelewa sio jadi yangu. . .hata wazazi walishaacha zamani. Na wala sio bahati ni ulemavu wa aina yake.
 
simpo..chuku avyeti vyake mtafutie kazi kama kweli wampenda mumeo.......akikataa kazi utapata majibu una mme wa aina gani..mtaftie ata tempo tu!!.....
 
Nwy kulelewa sio jadi yangu. . .hata wazazi walishaacha zamani. Na wala sio bahati ni ulemavu wa aina yake.

Lizzy hupendi kulala vizuri kula vizuri kuenjoy maisha n.k? Njoo basi nikuhudumie mama watoto
 
Wakati huyo mwanaume anamuoa alikuwa ana kazi au alikuwa hana? Tukipata jawabu hapa ndo wengine tunaweza kutoa point.
 
Lizzy hupendi kulala vizuri kula vizuri kuenjoy maisha n.k? Njoo basi nikuhudumie mama watoto

Kwani umeambiwa siku zote hua sili wala silali vizuri?

Kama unataka kunihudumia njoo unisaidie kupiga deki kwangu ndio ntakuona wa maana, pesa sio ishu.
 
Mmmmh!kazi ipo,

Hebu na amtafutie watu wazima waongee naye,
Siamin mtu mwenye utashi wake na umri huo anaweza kuwa ivo,
Nahisi kuna tatizo mahala!
 
Kama unataka kunihudumia njoo unisaidie kupiga deki kwangu ndio ntakuona wa maana, pesa sio ishu.

Nikukubali hii ofa utasema napenda kulelewa fanya mpango wa kunipa uhausi boyi basi
 
Tatizo liko wapi hapo sasa - ampe jukumu la kulea mji. Hii mitizamo ya kila mwanaume ni mchapakazi inakosea sana. Wengine hawana hulika hizo - ndio walivyo. Kama anapenda kukaa kaa tu awe baba wa nyumbani!
 
Hahahaha mzee umemaliza awe mlinzi wa mchana nyumbani
 
Tatizo liko wapi hapo sasa - ampe jukumu la kulea mji. Hii mitizamo ya kila mwanaume ni mchapakazi inakosea sana. Wengine hawana hulika hizo - ndio walivyo. Kama anapenda kukaa kaa tu awe baba wa nyumbani!

hili nalo neno
 
Kila siku huwa nasema hili
"SI KILA ANAYEWEZA KUMTIA MWANAMKE MIMBA NI MWANAMME"

Tukusaidiaje hapo, ulikosea mchezo toka mwanzo, labda a divorce will do you good.
Nina rafiki yangu ana babzazi wa aina hiyo
Mumewe kakataa talaka
Kang'ang'ania hadi kufa
kasema la sivyo amuachie nyumba alojenga huyo dada.
Sababu yeye ana kazi atajenga nyingine.

Akina marioo ni fasheni shoo tu, ndoa HELL NO.
 
ndo maana mi nakagua hadi ukucha? je ni wa kiume kweli? watu wanadhani wanaume woote ni wanaume.kuna mwanaume akikuangalia tu unajua huyu sio wa kiume mbona macho tu unajua hii bidhaa ya kichina hii.
selection up to infinite
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom