Mwanaume; ungechagua yupi? Honestly lakini.

Yes ndi quality tunayuiangalia hapa, zingine tuassume ni constant! LOL

Kaka yako anazidi kuniassure kuwa l am the only one; sio kwamba sijiamini lkn; ila nilitaka kujua preference yake ili au nitulie au nimrushe roho ado ado! LOL

Usiache kumrusha roho mwenzi wako, ili moyo wake uwake tamaa kwako.
1 King'asti 2: 33b
 
Yes ndi quality tunayuiangalia hapa, zingine tuassume ni constant! LOL

Kaka yako anazidi kuniassure kuwa l am the only one; sio kwamba sijiamini lkn; ila nilitaka kujua preference yake ili au nitulie au nimrushe roho ado ado! LOL

Utakuwa na bahati sana Kaunga endapo utajua hiyo...it be like deciphering the genetic code!

Kama wengi wangelijua hilo....hili jukwaa lisingekuwepo au lingehamishiwa chit chat!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Watakusikia, hawatakuelewa wala kukuamini. Kula kobisi, wabaki wanashangaa na roho zao
3 King'asti 1:15
Hivi ni kweli madameB amekupiga kibuti aisee? Nina neno la faraja kwako ila inabidi utoe sadaka.
hahahahahahaha
huo mstari hapo chini me hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hivi mpaka leo mnarushana roho? Me challenges sawa nazikubali lakini somewhere else na sio kwenye mahusiano ambapo mwisho wa siku sioni mavuno yeyote
 
Kuwa na mpenzi ambaye unaamini kwa kiwango kikubwa kuwa ni wako, hana mtu mwingine; au

Kuwa na mtu ambaye anakuweka roho juu (sio sana lkn), na hujiamini 100%?

Majibu ya dhati tafadhali!

Utata.....:thinking:
 
Ha ha ha, lkn utamthamini au kwa vile una uhakika kuwa she is yours hata care itapungua!
haitapungua, its just that I really get emotionally involved kwenye mahusiano. so if kuna mwingine naweza kuwa broken sana. i may make small/common mistakes since im only human but im around during trouble times
 
Hapo umenichanganya.

Utakuwa na mume handsome afu u relax eti hakuna possibility kuwa kuna wanaomtamani?

Na majibu wanayotoa kina Boss umeyaelewaje? Mi hapo nimeona kila mtu ame assume number 1 anakosa vigezo fulani fulani vya mvuto ndio maana wanasema huyo wa ndani...number mbili kiburudisho.

Kama wote ni kama mapacha obvious kila mtu atachagua number 1. Lakini hii ni very abstract; haiwezekani uwe na mume kama ....(ningekupa mfano lakini fikiri mwenyewe) afu utegemee kuwa hakuna hata mdada mmoja anayemtamani. Na kama ni kweli lazima atakuwa na kasoro...otherwise it is your own wrong perception and assumptions; kwa maneno mengine ni kuwa unajipa moyo tu.

Kutamaniwa ni one thing....kuwa mgumu hata baada ya kutamaniwa ni another. Ndio maana nasema kama mimi nilimpenda kwa among other things mvuto...wengine wana makengeza kuwa hawamuoni? Ndio maana najua mume wangu amezungukwa na danger na inabidi nisibweteke kisa mimi ni wife na ku assume yeye ni group 1.

nyumba kubwa you got it wrong, maana yangu ni kuwa sifa za nje hazihusiki, meaning kama ni uhandsome hakuna anayemzidi mwenzake; tofauti say mmoja ametulia kiasi kwamba you are almost sure kuwa uko mwenyewe, ila wa pili anakuweka roho juu juu (kind of flirt) na hujiamini kama u are the only one!

Si kwamba ni reject au havutii, they both vutia!
 
Hapo umenichanganya.

Utakuwa na mume handsome afu u relax eti hakuna possibility kuwa kuna wanaomtamani?

Na majibu wanayotoa kina Boss umeyaelewaje? Mi hapo nimeona kila mtu ame assume number 1 anakosa vigezo fulani fulani vya mvuto ndio maana wanasema huyo wa ndani...number mbili kiburudisho.

Kama wote ni kama mapacha obvious kila mtu atachagua number 1. Lakini hii ni very abstract; haiwezekani uwe na mume kama ....(ningekupa mfano lakini fikiri mwenyewe) afu utegemee kuwa hakuna hata mdada mmoja anayemtamani. Na kama ni kweli lazima atakuwa na kasoro...otherwise it is your own wrong perception and assumptions; kwa maneno mengine ni kuwa unajipa moyo tu.

Kutamaniwa ni one thing....kuwa mgumu hata baada ya kutamaniwa ni another. Ndio maana nasema kama mimi nilimpenda kwa among other things mvuto...wengine wana makengeza kuwa hawamuoni? Ndio maana najua mume wangu amezungukwa na danger na inabidi nisibweteke kisa mimi ni wife na ku assume yeye ni group 1.

Nimebase katika 'kuwa mgumu' ingawa mimi ninakuita kujiheshimu, tofauti na yule anayeflirt au macho juu juu au anayekursha roho maana kila mtu anatamaniwa at one point or another; no matter ataonekana unattractive kiasi gani kwa some waonaji. Na hata kamahutamanishi, lakini unaweza kujitamanisha na hivyo kuingiza watu kwenye vishawishi.

Hapo red, kuna wengine hawako attracted na huyo no 1, msome vizuri Asprin, lara 1 na wengine wengi; jioni nitakuja na takwimu za maoni ya watu.

Kweli hoja yangu ni more ya kufikirika na nilitaka mitazamo hiyo hiyo ya kufikirika.
 
Last edited by a moderator:
Huu ndo ujinga ambao huwa siutaki kabisa ktk maisha yangu, competition for a woman? Ana kitu gani kuliko wengine? If she doesnt respect I dont give a ****!

Design hiyo vizuri vitakushinda sanaa! Logic iko hivi, mtu akiwa bomba kila mtu anamtaka, tena kwa gharama yeyote, sasa ukijitoa ndo vizuri unatupunguzia ushindanii sie wapenda UBINGWA!
 
Back
Top Bottom