Mwanaume Suruali

Ni kweli BB..hili ni fumbo......literally meaning huna lolote uwezalo isipokuwa kuvaa suruali...yaani hujiwezi labda kifedha etc....kama wanaume wanavyofaa......

Lakini mbona hai-make sense yoyote? Eti mwanaume suruali...what the fcuk is that?

Kwa nini isiwe shati? chupi? kondomu?
 
Lakini mbona hai-make sense yoyote? Eti mwanaume suruali...what the fcuk is that?

Kwa nini isiwe shati? chupi? kondomu?

mwanamme suruali ni yule mwanamme anaejuulikana kuwa mwanamme kutokana na kuvaa kwake suruali tu lakini sifa nyengine zote walizonazo wanaume wenziwe yeye hana

( huu msemo ni wa zamani katika kipindi ambacho wanawake walikuwa hawavai suruali)
 
Kweli ni wa kizamani maana kwa nini isiwe mwanaume kaptula kwa sababu pia zamani wanawake kwenye jamii yetu walikuwa hawavai kaptula isipokuwa wanaume tu...

Hii misemo mingine haina kichwa wala miguu
 
Kumbe demu mwenyewe beki # 3 ? hapo itakuwa unamtumia tu bila matunzo yoyote.

kwani beki 3 ndio jamani? hapa tunaangalia mwanamke kama mwanamke na si position ya huyo mwanamke eiza ni 1st lady, beki 3 au la.
 
kwani beki 3 ndio jamani? hapa tunaangalia mwanamke kama mwanamke na si position ya huyo mwanamke eiza ni 1st lady, beki 3 au la.

Sikuwa na maana hiyo nilimaanisha kama ni mfanyakazi wa ndani basi labda Bujibuji ni bahili kwasababu wanaridhika na vitu vidogo.
 
Jamaa yangu aliambiwa na demu wake "wewe sanasana unachokiweza ni ngono tu ndiyo unaijulia vizuri, sifa ambayo hata dume la mbwa linayo, sa una lipi la ziada nikuheshimu?". Na hii alimpa 'live' katika ule ugomvi wa kupaaza sauti hadi vyumba vya jirani tunasikia. Jamaa alimmwaga siku ileile bila kutafuta ushauri wa mtu.

Hebu na wewe pima kama inakaribiana au kufanana na 'mwanaume suruali'.
 
Kuna maeneo fulani wao wanasema "Umugosi u-musuluwali". Uanamume uko kwenye suruali. Kwa maoni yangu ni vyema kujua hasa anakusudia nini huyo dada anaposema mwanaume suruali. Inawezekana anakupongeza kuwa u rijali wa haja!
 
Si ndio hapo sasa....yaani ni msemo usio na akili kabisa.
 
Back
Top Bottom