Mwanaume Suruali

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,344
Demu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi ya mara sita sasa kwa nyakati tofauti tofauti.
Je kuna haja tena ya mimi kuendelea kumvumia na msemo wake huo au nimwache aende akatafute wanaume ambao sio suruali ila sketi?
 
kwa mtazamo wangu nadhani wewe unamtegemea huyo dada kwa kila kitu yaani hauna msaada wowote kwake zaidi ya ngono tu ndio maana anakuita mwanaume suruali sasa kuanzia sasa amka changamka mtoto wa kiume
 
Pole kaka hapo pana mawili
1. Inawezekana huyo dada amepata mwanaume mwingine ambaye kwake anaona anamfaa kwa kila kitu.
2. Kamam mwenzangu aliyengulia kuwa yawezekana yeye yuko juu kipesa nawe wamtegemea kwa asilimia flani

Chakufanya hapo wewe kula kona maana dalili umeziona mwanzoni sasa ukiweka ngoma ndani kijumla itakuwa tabu
 
1.hana haja na wewe huna kitu
2.inawezekana huo ni mtego, kwa kukueleza hivyo utajitutumua utoe kila kitu hadi ukakope.
3.mkuu vipi? Kwani akufukuzae lazima aseme toka?
4.kwani na wewe ukimwambia ni mwaamke sketi.....halafu ukamuomba radhi unaonaje?
 
Inawezekana kisu chako ni butu hakiwezi kukata hata kipande cha mkate!!!
 
Pole sana bwana!! inawezekana huna maamuzi kwa mambo yenu.
 
Noa kisu chako uone kama atarudia hayo maneno yake by the way sijui kwanini kila mwanamke huwa anakimbilia huo msemo naona kama vile umeishazoeleka
 
Demu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi ya mara sita sasa kwa nyakati tofauti tofauti.
Je kuna haja tena ya mimi kuendelea kumvumia na msemo wake huo au nimwache aende akatafute wanaume ambao sio suruali ila sketi?

Ungemuuliza alitaka wewe uwe mwanaume sketi?
 
Jemedari vipi BJ??
1.Kuna kigogo anaye naanjua uwezi fanya kitu!!
2.Pesa unayompa nikwa ajiri ya salon japo wewe unaona umekata fungu!
3.Au yeye anakisu chaukweli hata kodi ya nyumba anakusaidia,kulipa karo za watoto anlipa yeye.
4.Wewe huenda kwake kupiga jando!
5.Tangu muanzane hujawai kumpa kitu cha maana sana sana chips mayai na lager!
6.Kila akikwambia shida zake wewe ndozakwako zinakuwa zaidi ya zakwake!!
7.Kwa mantiki hizo anakila sababu kukuita mwanamme suruali.
8.Kakuheshimu angekwambia mwanaume kama binti??
9.Je yote yanaukweli juu ya hilo??
 
Hapa sasa nimeelewa.
Mbona binti mwenyewe ni mtumishi wa ndani wa nyumba jirani?
Ila si unajua mapenzi hayabagui wala hayachagui?
jemedari vipi bj??
1.kuna kigogo anaye naanjua uwezi fanya kitu!!
2.pesa unayompa nikwa ajiri ya salon japo wewe unaona umekata fungu!
3.au yeye anakisu chaukweli hata kodi ya nyumba anakusaidia,kulipa karo za watoto anlipa yeye.
4.wewe huenda kwake kupiga jando!
5.tangu muanzane hujawai kumpa kitu cha maana sana sana chips mayai na lager!
6.kila akikwambia shida zake wewe ndozakwako zinakuwa zaidi ya zakwake!!
7.kwa mantiki hizo anakila sababu kukuita mwanamme suruali.
8.kakuheshimu angekwambia mwanaume kama binti??
9.je yote yanaukweli juu ya hilo??
 
Demu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi ya mara sita sasa kwa nyakati tofauti tofauti.
Je kuna haja tena ya mimi kuendelea kumvumia na msemo wake huo au nimwache aende akatafute wanaume ambao sio suruali ila sketi?

Kaka cha msingi anza mbele. Kwa sisi tuliokulia uswahilini maneno yake yana maanisha kuwa mzee hupigi mashine sawa sawana hivyo kuna jamaa wanakusaidia. Au kama alivyo zungumza mwenzangu, kuwa wewe ni super tegemezi.

Hiyo dhambi haiwezi kwisha au la sivyo wewe ubadilike.
 
Mwanaume suruali nijuavyo mimi ni mwanaume asiejiweza nyanja zote, labda kutoa dudu tu,

mmh pole mwaya, kata kona tu hapo umeshadhalaulika sana,
 
Jemedari vipi BJ??
1.Kuna kigogo anaye naanjua uwezi fanya kitu!!
2.Pesa unayompa nikwa ajiri ya salon japo wewe unaona umekata fungu!
3.Au yeye anakisu chaukweli hata kodi ya nyumba anakusaidia,kulipa karo za watoto anlipa yeye.
4.Wewe huenda kwake kupiga jando!
5.Tangu muanzane hujawai kumpa kitu cha maana sana sana chips mayai na lager!
6.Kila akikwambia shida zake wewe ndozakwako zinakuwa zaidi ya zakwake!!
7.Kwa mantiki hizo anakila sababu kukuita mwanamme suruali.
8.Kakuheshimu angekwambia mwanaume kama binti??
9.Je yote yanaukweli juu ya hilo??

Sawa kabisa yaani ungekuwa karibu ningekununulia soda kaka kiza kama ni mwanaume wewe ni mwanaume wa shoka
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom