ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,649
Maneno haya yalitamkwa na wadada wawili walokuwa wakienda 'General Hospital' toka nkuhungu kumpa pole shostito mwenzao aliyepata shinikizo la damu baada ya kuporwa mpenzi wake na mwanamke mwingine.
"Kwanza wala hakuwa na haja ya kupandisha presha. Ningekuwa mimi nisingekubali hapo akose yeye, au mimi. Ningemuondoa tu huyo mwanaume duniani tuone nani angefaidika. Yaani mimi nihangaike naye. tusote wote, tunakuja kupata maendeleo, mwanaume amependeza halafu yeye aje na m***du wake eti mpenzi wake, anajua nilivyohangaika naye huyo mwanaume hadi amependeza?"-Mwanamke wa kwanza alimaliza kusema.
Yule wa pili akadakia "Dawa hapo dawa ni kuwaondoa wote mapenzi yao wakafanyie mbinguni, sio hapa duniani". Akaenda mbele zaidi kwa kuhitmisha "mwanaume nimpendezeshe mimi halafu mwingine aje anipore, thubutuuuuuuuuu!-akamalizia mwanamke wa Pili.
Waliposhuka kituo cha hosptitali, jasho kwa mbali likawa linanitoka nadhani sababu tu ya kuwaza 'risks' ambazo wanaume huwa tunazikaribisha ktk maisha yetu ya mepenzi, mweeeeee! uanaume kazi!
My take: Jamani wanaume wenzangu, jifikirie mara mbili unapoamua kumsaliti mpenzio. Vifo vingine vya wanaume wenye 'nazo' huenda vinachngiwa na hii maneno jamani!