Mwanaume ni yupi hapa??

The Boss and Crew

Mi naamini "umalaya" au 'tabia nzuri' ya mtu ni something 'socially constructed'

Kwa hiyo kimsingi kigezo cha kwanza cha kumuoa mtu ni kumpenda. baaas.

Sasa suala la kwamba hayo ni maamuzi ya 'kiume' au la....hilo linatupeleka kwenye debate ya feminism tena na hukawii kuwa accused wa gender discrimination lol

Mapenzi Sio Siasa (Husninyo)
Let love lead the way (kama hiyo ndo itakudefine kuwa mwanaume basi ndo ivo ivo ila mi ningesema uamuzi wa busara...)
 
King'ast na the boss wema anaonekana malaya kwa sababu ya umaarufu wake, wanaume wote anaotembea nao ni maarufu pia na kila akiwa na mpenzi lazima magazeti yaandike. Tujiulize kuna wadada wangapi wa umri wa wema wanabadilisha wanaume? tena kuzidi hata hao wa wema na wengine wameolewa tena ndoa za nguvu lakini bado wanapandishwa juu ya meza maofisini, ila hawasemwi kwani jamii haijui.

Kwa mtazamo wangu wema anaonekana malaya kwa sababu ya umaarufu wake na hivyo vibwana vyake ni maarufu pia. Lakini kuna watu tena wake za watu ungekua unamsoma mtu usoni alishatembea na wanaume wangapi utaona wema ni cha mtoto.

Haya banaa :):)...Hizo meza za maofisini zingekuwa na uwezo wa kuongea tungesikia mengi sana :):)

Last edited by a moderator:
Hahahaha lol, ngoja nikamuone mchina ili niwahi bahati hapa

Maty angalia usipake nyingi kupita kiasi ukaumuka mpaka ukajichukia :):)

fotos-picantes83-20.jpg
 
I married the one I love. Am happy. Am the happiest! Love leads the way......... I do what love tells me.

Onyo: Usioe ili ufurahishe watu!

Kuna mtu alianiambia ndoa yenye upendo huzaa watoto wapole ambao nao huzaa watoto wapole,sasa wewe vijukuu vyako mbona ni vitundu kupindukia?
 
Hahahaha lol, ngoja nikamuone mchina ili niwahi bahati hapa

duh la mchina linaweza kuwa moja kubwa jingine dogo sasa uwiano hapo utakuwa wa ajabu la sivyo itabidi umtafute mjerumani akutengenezee centre of gravity ili usianguke
 
"anayeonekana malaya" Haonekani hivyo tu, ila kuna visababishi vinavyosababisha aonekane hivyo! Na kwa kuwa tabia hiyo (umalaya) ni moja wapo ya tabia ambazo ni anti-social; yaani tabia zinazoleta migawanyiko na migogoro katika jamii si uamzi wa KIUME kumuoa. Hata kama utamuoa huyo kwa kisingizio cha kumpenda, hapo mbeleni utakuja kugundua kuwa jamii haikuwa IMEKOSEA. Na hapo ndo itakuwa imeshakula kwako kwani ku-reverse ndoa ni ngumu na gharama zake ni kubwa sana!!

Jamii ina mifano mingi sana ya kushuhudia kuwa ndoa nyingi za namna hii huishia kubaya na hicho kinachoitwa mvuto na kumpenda hapo mwanzoni hakifui dafu kwa vitabia vya ki-"antisocial". Ndoa zote zinazosambaratika mwanzoni watu walisema tunapendana sana; wakadharau viashiria vya wazi. Mojawapo ya viashiria kuwa huyo hakufai ni hiyo ya "kuonekana malaya". Miaka mitano ndani ya ndoa ndo utajua kuwa "kuonekana malaya" ni kitu kibaya na hapo itakuwa umeshachelewa!!

kwa ufupi unaona hili jambo linavyowagawa watu...
 
...the boss, kwakuwa "labda anaonekana" ndilo neno lililotumika, nakubaliana na wengine kwamba huyu ndiye
mwenye maamuzi aka mwanaume mwenye maamuzi thabiti.

lakini, angekuwa ameoa mwanamke malaya...anayejulikana naye anamjua...---***** huyo!

nimekuelewa kuwa 'ni makosa'kuoa 'malaya'

hata kama 'moyo umefika'......
 
Mi nafikiri kwamba ndio maana kunakua na mke na hawara mke ni wa kuwa ndani na anakulindia heshima ila hawara ndio mambo ya
kuupa nafasi moyo na hii huwa ya muda mfupi tu kwani changu ni changu tu.huwezi kumbadilisha hata kidogo.

umeona sasa????
sasa hapo sio kushindwa 'kuwa mwanaume' kwa kuoa huyo ambae unamuita 'mambo yote' ?????
 
Boss hio in Blue... most men look for that... But not in a wife. Wanaume wana kasumba kua aoe mke ambae atakua a good wife and a good mom pia and good house keeper as a complimentary akijua kabisa hata kama the above blue haitapatikana hapo hamna kitakachomkwamisha kupata... Why do you think mara nyingi guys hutoka na really hot gals but when you hear anaoa... anaenda kuoa binti mpole na mtaratibu ambae outing kwake ni at minimal... Why do you think guys hukimbilia kuoa proffession ya walimu?? IMO it is because most walimu ni mara chache huwa wale wake mcharuko... among other things....

hiki ndo nilichokuwa nakizungumza
kwamba most men kwa mujibu wa maelezo yako...wanashindwa kuwa wakweli wa nafsi....
kwa sababu kama 'good sex na chemistry' haipo kwa wife ,kwa nini umuoe???

na ukimuoa je ni uamuzi wa kiume???/
 
Maamuzi yote mawili si ya kiume. Mwanaume atasubiri for the right candidate na si kuoa malaya au mtu

asompenda.

Nyumba Kubwa unanifanya turudi kwenye swali..kupenda ndo kukoje????
chukulia mfano wa Asha Dii wa wanaokimbilia kuoa walimu wakiamini
they make 'better wives' halafu wanakuwa na vimada wanaowasuuza roho zao....
wote sio 'wanaume' ???????
 
King'ast na the boss wema anaonekana malaya kwa sababu ya umaarufu wake, wanaume wote anaotembea nao ni maarufu pia na kila akiwa na mpenzi lazima magazeti yaandike. Tujiulize kuna wadada wangapi wa umri wa wema wanabadilisha wanaume? tena kuzidi hata hao wa wema na wengine wameolewa tena ndoa za nguvu lakini bado wanapandishwa juu ya meza maofisini, ila hawasemwi kwani jamii haijui.

Kwa mtazamo wangu wema anaonekana malaya kwa sababu ya umaarufu wake na hivyo vibwana vyake ni maarufu pia. Lakini kuna watu tena wake za watu ungekua unamsoma mtu usoni alishatembea na wanaume wangapi utaona wema ni cha mtoto.

yaani wewe.....eti wanapandishwa juu ya meza...lol
huwa unawachungulia nini? lol
 
The Boss and Crew

Mi naamini "umalaya" au 'tabia nzuri' ya mtu ni something 'socially constructed'

Kwa hiyo kimsingi kigezo cha kwanza cha kumuoa mtu ni kumpenda. baaas.

Sasa suala la kwamba hayo ni maamuzi ya 'kiume' au la....hilo linatupeleka kwenye debate ya feminism tena na hukawii kuwa accused wa gender discrimination lol

Mapenzi Sio Siasa (Husninyo)
Let love lead the way (kama hiyo ndo itakudefine kuwa mwanaume basi ndo ivo ivo ila mi ningesema uamuzi wa busara...)

kweli mapenzi sio siasa
but huwezi amini...wanaume tulio wengi tunajali zaidi
'heshima' kuliko kufuata mioyo ndo maana kuna vimada weengi mno...
mke ni heshima,kipenda roho kinakuwa kiko pembeni....lol
 
Boss naomba nianze kwanza kwa usemi wa kipenda roho hula nyama mbichi

Pili niseme muoaji ni wewe sio ile jamii inayokuzunguka japo nae atakuwa part ya jamii ila wewe ndie utakayakuwa part ya maisha ya muolewaji kwa maisha yake yote.
Kuna vitu ambavyo umeviona kwa huyo dada regardless ya hayo maneno owanayomsema kuwa sio class yako au ni malaya au haendani na wewe

Ila mapenzi hayajali hayo ila unachoangalia je huyo mama pamoja na madhaifu wanayomsema nayo kuwa sio class yako au ni malaya, je ni mwanamke wa kukufaa wewe. Je anatutimiza vigezo vyako ambavyo wewe umejiwekea. JE atakuwa mke mwema maana unachotafuta wewe ni mke wa kukaa nae ndani ya nyumba yako na ambaye atakuzalia watoto awalee watoto wako katika njia ipasayo. Mwanamke atakayetulia na wewe kama mumewe. Kama amekukuta uko kwenye hiyo class ya juu aendane na wewe na abadilike kulingana na mazingira na wakati. Jamii iko pale sio kukusaidia kukaa na mkeo bali kuangalia mapungufu ya mkeo na kuyasema wala hawatakusaidia kwa namna nyingine kumjenga mkeo au kumbadilisha.

Unaweza kuamua kumuoa huyo ambaye wanasema ni wa class yako au sio malaya au anayeendana na wewe ukajikuta umepata matatizo ambayo hukutarajia

Halafu je hebu jiulize huyo dada aliingia kwenye umalaya kwa sababu gani. Nini kilimfanya awe hivyo. Au je hajafikia hiyo class yako kwa sababu gani.

Uamuzi wa kiume nafikiri ni kufanya kile ambacho kunakiamini na kukisimamia bila kujali jamii inasemaje au inakuchukuliaje. Kusimamia jambo unaloliamini licha ya kwamba kuna vipingamizi vingi

mkuu heshima inaanzia ndani kwa wewe mme na mke then kwa watu wanaowazungukka ... matendo ya nje ya mmoja wenu yanaweza kuwafanya wanaowazunguka kutokuwa na imani na nyie au kuwabagua kwa vile kimtazamo mmoja wenu hatokuwa sahihi.. pamoja na kwamba muoaji ndo mwamuzi lakini pia hamwezi kuishi maisha ya kila siku bila kuhusisha watu wanaowazunguka
 
kweli mapenzi sio siasa
but huwezi amini...wanaume tulio wengi tunajali zaidi
'heshima' kuliko kufuata mioyo ndo maana kuna vimada weengi mno...
mke ni heshima,kipenda roho kinakuwa kiko pembeni....lol

heshima ni kila kitu a inaanzia ndani sasa kama mke hajiheshimu je unategemea na wewe unaweza kumheshimu na je jamii inayowazunguka inaweza kuwaheshimu????
japo wanasema ukipenda unaweza hata kudiriki chongo kuita kengeza
 
Nimeshaona wengi walopenda chongo na kuita kengeza lakini ni ya mpito tu hayo; baada ya miaka mitano wanaanza kuona si chongo tena ila upofu.

Watu wengi wanaingia mikenge si wanaume wala si wanawake; baada ya muda si mrefu ndo unasikia ooh hata ndugu zangu walinikanya; while its too late. Maisha ya ndoa yana ups and downs za kiwango cha affection; sasa wakati kiwango kimeshuka utaanza ona makasoro yooote uliyokuwa unawabishia watu.

Na utakachofanya ni kuugulia maumivu kwa siri kwani ni aibu ku share na walokukanya.

Mimi mfano mme wangu nilimpenda kinoma; wakati we were just friends nilimpeleka nyumbani ili nipate second opinion toka kwa wazazi. Nao walimkubali. Wangemkataa ningefikiria kumtoa mawazoni slowly kwani nina imani ndugu zangu hawawezi kunitakia mabaya; hence I always take their advice seriously.

Back
Top Bottom