Mwanaume ni lazima ukunje ngumi kwa mkeo?

wanawake wa humu ndani kwa unafiki.....hamjambo...
wengi mnapigwa na mnavumilia.ila mkija hapa mnajishebedua......

baadhi ya wanawake hawaendi bila kupigwa.....

Inawezekana una ukweli GodFather..lakini mambo ya kupigana hayafai :crying:
 
Haha hahaha talaka ya nini na wewe mambo ya ndani ya house bwana yanachekesha sana :A S-confused1:

Nielewavyo mm mwanamke akidundwa ndo anazidisha penzi kwa mmewe...kama unabisha kwa nn mwanamke akidundwa na kuumuliwa manundu utakuta akipona tu wapo nae wanakula bata ndo kwanza mashow love kama kawa.
 
kweli kuna wanawake wanapata shida. inaanzaje mpaka upigwe? kwangu mm ile cku atakayonyanyua mkono kunipiga yani hiyo ndo talaka yangu.
Wapendwa... wanaopigwa nao walikuwa na mawazo hayo hayo... waulizeni ikawaje? ( this is a universal problem..wanaopigwa hawasemi na wanaopiga nao hujifanya hawapigi!)
Kuna wanaume nao huwashangaa wanaume wenzao wanaopiga wake au wapenzi wao ilhali nao kutembeza mkono ni wepesi sana!

Ukienda polisi nako kwa vile polisi hao hao hupiga wake zao, watakurudisha ati mkayasuluhisha nyumbani ni mambo ya kifamilia! MAKUBWA HAYA!
 
wanawake wa humu ndani kwa unafiki.....hamjambo...
Wengi mnapigwa na mnavumilia.ila mkija hapa mnajishebedua......

Baadhi ya wanawake hawaendi bila kupigwa.....

kama wapo nawapa pole.
 
nimesahau miwani yangu!!emergency.......shida kwisha...........kachoka.........
Vinaunganika kweli???

Any way, naamini 70% of men have at one point, attempted or slapped a woman - slap, sio mangumi!! Naomba nieleweke - kama ilivyo tofauti kati ya kumpiga mtoto na kumchapa mtoto. (there is a certain discipline that need to be instilled into ya women, you know?!!, especially when you forgot your godly role in the house)

your avatar speaks volumes!!!
 
wanawake wa humu ndani kwa unafiki.....hamjambo...
wengi mnapigwa na mnavumilia.ila mkija hapa mnajishebedua......

baadhi ya wanawake hawaendi bila kupigwa.....
Mara ya mwisho kupigwa ilikuwa nipo shule miaka hiyo ya tisini.sitegemei kuja kupigwa tena maishani mwangu na mtu awaye yeyote.
 
Mara ya mwisho kupigwa ilikuwa nipo shule miaka hiyo ya tisini.sitegemei kuja kupigwa tena maishani mwangu na mtu awaye yeyote.
mpwa kumbe we ni kijana mdogo kabisa?!...
tisini ulikuwa shule bado?:bounce::bounce::bounce:
 
Kuna mke wa mtu alikuwa anapigwa na bwana wa nje...
Wakati mumewe hampigi....na bwana wa nje hamuachi...
Wanawake bwana.............
 
Kuna mke wa mtu alikuwa anapigwa na bwana wa nje...
Wakati mumewe hampigi....na bwana wa nje hamuachi...
Wanawake bwana.............
This is the worst scenario.....mke anapata manundu toka kwa hawara......
Guesswork: mke ni mzaliwa wa kure kure kwetu poti.....
 
Back
Top Bottom