Mwanaume ni lazima ukunje ngumi kwa mkeo?

NAMSHUKURU mUNGU SIPENDI MAKELELE NA MWENZANGU ANAJUA HILO! SASA NAWE KAMA MWENZIO KAWA VUVUZELA SI UONDOKE HAPO USIMSIKILIZE?
Good point, ndo maana mi narudi home kulala tu!!
 
UYO si mwanaume wewe.pls usichanganye wanaume na wenye jinsia ya kiume!!!!
u dont nid to fight to be a real man
a real man is upon upstairs n datermined by his action
1.kndnes
2.care
3.advisor,director . contoroler towards makubaliano kati yake na mkewe katika kuliimarisha pendo lao
lakin uyo anayejifanya fransis cheka daily anakufumua mmh nakataa bwana uyo si mwanaume ni mfano wa binadamu mwenye jinsia
 
Kuna mdada alikuwa anapigwa kila siku na mumewe siku moja akamlia timing akamg'ata dudu yake nusu amuue halafu akakimbia he! halafu baada ya wiki kadhaa tukaona wamerudiana duh! me nayashangaa mapenzi Looh!
 
hahahaaa!!!!
Watu wengine mapenzi yao ni kama ya mbwa.mpaka wang'atane kwanza ndo wapeane dudu!!
 
UYO si mwanaume wewe.pls usichanganye wanaume na wenye jinsia ya kiume!!!!
u dont nid to fight to be a real man
a real man is upon upstairs n datermined by his action
1.kndnes
2.care
3.advisor,director . contoroler towards makubaliano kati yake na mkewe katika kuliimarisha pendo lao
lakin uyo anayejifanya fransis cheka daily anakufumua mmh nakataa bwana uyo si mwanaume ni mfano wa binadamu mwenye jinsia
duu
 
wenzako walikuwa wanasema hivyo hivyo!!

wenzangu wepi?

mimi kuna mwanamme once alikuja kwangu akasema katokewa na emergency kubwa sana (nahisi alidanganya), mara namwambia haya shida yako imeshaisha can u go plz nataka kufanya shughuli zangu unananiwekea kiza................ati kachoka bora abaki hapo usiku na hataki kuondoka, na viatu kavua kajilaza juu ya kochi. aaa nilimpigia simu polisi tu taratiiiiiiiiiiiiiibu wala sikupata pressure. :D
 
yaani hiyo siku mtu anyanyue mkono wake anipige ................duh lazima ndo asahau kama kuna mwanamke mimi! No stop hadi polisi. Lol

mambo ya kupigana hayafahi kabisa bahati mbaya unaweza kukosea ukampiga mwenzio sehemu mbaya harafu unaanza kujilaumu wakati ni too late
 
wanawake wa humu ndani kwa unafiki.....hamjambo...
wengi mnapigwa na mnavumilia.ila mkija hapa mnajishebedua......

baadhi ya wanawake hawaendi bila kupigwa.....
 
wanawake wa humu ndani kwa unafiki.....hamjambo...
wengi mnapigwa na mnavumilia.ila mkija hapa mnajishebedua......

baadhi ya wanawake hawaendi bila kupigwa.....

Godfather sikulaumu sana kwa unachoamini..............watu wa aina yako wengi wanakuwa wamefikia kuamini tabia chafu kutokana na kuziona zinatendeka around them.......labda mama, dada, bibi, mama mdogo n.k

naamini hakuna mwanamke asiyeenda bila ya magongo
 
wenzangu wepi?

mimi kuna mwanamme once alikuja kwangu akasema katokewa na emergency kubwa sana (nahisi alidanganya), mara namwambia haya shida yako imeshaisha can u go plz nataka kufanya shughuli zangu unananiwekea kiza................ati kachoka bora abaki hapo usiku na hataki kuondoka, na viatu kavua kajilaza juu ya kochi. aaa nilimpigia simu polisi tu taratiiiiiiiiiiiiiibu wala sikupata pressure. :D
Nimesahau miwani yangu!!emergency.......shida kwisha...........kachoka.........
Vinaunganika kweli???

Any way, naamini 70% of men have at one point, attempted or slapped a woman - slap, sio mangumi!! naomba nieleweke - kama ilivyo tofauti kati ya kumpiga mtoto na kumchapa mtoto. (there is a certain discipline that need to be instilled into ya women, you know?!!, especially when you forgot your Godly role in the house)
 
wanawake wa humu ndani kwa unafiki.....hamjambo...
wengi mnapigwa na mnavumilia.ila mkija hapa mnajishebedua......

baadhi ya wanawake hawaendi bila kupigwa.....
Kama una-mwanamke wa hivyo, huyo ni sawa na gari amablo kila siku lazima lipelekwe gereji............achana na mwanamke wa hivyo. I know wapo wanawake ambao wanaweza kukufanya uuwe bure!! likewise wanaume in that matter.
 
....slap, sio mangumi!! naomba nieleweke - kama ilivyo tofauti kati ya kumpiga mtoto na kumchapa mtoto. (there is a certain discipline that need to be instilled into ya women, you know?!!, especially when you forgot your Godly role in the house)
Mkuu can't put it more right...a slap sticks in her memory than a million words.....i have never slapped my woman though.
BTW: Men hate repeating the same thing, over n over.
 
wanawake wa humu ndani kwa unafiki.....hamjambo...
wengi mnapigwa na mnavumilia.ila mkija hapa mnajishebedua......

baadhi ya wanawake hawaendi bila kupigwa.....

Kuna prof. mmoja nilikutana nae jana akawa anasema swala la mwanamke kupigwa na mwanaume ni la kawaida utakuta mama ana masters yake au ni Dr. anatembezewa kichapo na mmewe wake tena ile ya kisekondari lala chini anachukua kichapo haya mambo we acha tu.
 
kabisa kabisa....
makamu wa rais wa uganda alikuwa mwanamke na alikuwa
anapigwa na mumewe na ananyamaza....
 
Back
Top Bottom