Mwanaume mwenye nguvu za ajabu

Mtumiabusara

JF-Expert Member
Nov 18, 2009
473
40
  1. Kwenye majambos lazima aende mizunguko 15 kila siku
  2. Ana wake 4, wanapokezana hakuna kulala
  3. nguvu zake ni sawa na wanaume 30000
  4. anaweza kuzuia treni isitembee
  5. anaweza kupindisha sarafu kwa kukandamiza kwenye jicho lake
  6. Akitumia mikono anaichana sarafu kama karatasi
  7. Haruhusiwi kufanya kazi yoyote wala kufungwa asije akapiga watu
WanaJF mnamfikiriaje mtu huyu, ni binadamu wa kawaida?

Si hadithi ya kutunga, unaweza kujionea
 
Huyu anafaa aende ikulu kumtoa Mubarak kwa kumnyanyua na kidole.
 
hehehehehe kwangu si mpya hii lakini kila nikimuona huyu babu subhanallah na mtangazaji wa kiume alipat hehehehe lol......kila saa amuliza hivi kweli we sex mara 15 kwa siku... na wapata kweli muda...... heheheheh yaonyesha hiyo ilimgusa kweli kweli... shukran abuy allah kareem..
 
Dahhhhhh! Hii njemba kiboko hahahahahahaha lazima ipige 15 kwa siku ndiyo ijisikie LOL! Unaweza kuomba talaka. "Miye nataka kurudi kwetu ndoa ya hivi siiwezi" Sasa huyo Baba yake ambaye anadai alikuwa na nguvu karibu mara nne ya za kwake sijui ndiyo ilikuwa inapiga goli ngapi kwa siku...labda 60 au hata zaidi hahahahahahahah...hata Viagra hapo haiambui kitu LOL!
 
hehehehehe kwangu si mpya hii lakini kila nikimuona huyu babu subhanallah na mtangazaji wa kiume alipat hehehehe lol......kila saa amuliza hivi kweli we sex mara 15 kwa siku... na wapata kweli muda...... heheheheh yaonyesha hiyo ilimgusa kweli kweli... shukran abuy allah kareem..

Umeona eeh NR hahahahahahah Njemba mtangazaji alikuwa haamini ikabidi aulize tena kama kweli jamaa inapiga 15 kila siku LOL! Mtangazaji labda akipiga goli zake mbili au tatu kwa wiki katosheka sasa anafikiria jamaa anayepiga goli 15 kwa siku au 105 kwa wiki hahahahahah! LOL!

heheheheehhe lol.... hata wewe nafkiri ungemuuliza mi kiukweli kweli ningemuuliza si chini ya mara tatu afadhali na mtangazaji kauliza mara 2 tuu,,, h hehehehehe ... aitwaje vile??
Umeona eeh NR hahahahahahah Njemba mtangazaji alikuwa haamini ikabidi aulize tena kama kweli jamaa inapiga 15 kila siku LOL! Mtangazaji labda akipiga goli zake mbili au tatu kwa wiki katosheka sasa anafikiria jamaa anayepiga goli 15 kwa siku au 105 kwa wiki hahahahahah! LOL!

Similar Discussions

Back
Top Bottom