4G LTE
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,777
- 10,533
Doooh wee jamaa... Kumbe ni mnywaji ila si mleviZanzi ni aina ya pombe flani ivi ukiiona inakuwa kama maziwa yani, na maranyingi wanaokunywa hui-mix na pombe nyengine mfano Amarulah, ila Sina uhakika sana cuz mimi sio mlevi