Mwanaume kwenda kulala kwa demu.

Labda unalala tu na kuondoka haachi matumizi wala hapaboreshi hapo geto ye ni kulala asubuhi kuondoka.embu aanze kutake care aone demu atakuwaje
 
Chukua ushauri huu peke yake japo umechelewa na ingawa nii wa kiufahamu zaidi:-Kama anahitaji kuwa na maisha mafupi aendelee kulala kwa mwanamke!!Mwanamke ni mwerevu kama nyoka ingawa kuna wakati anafeli.Maana yangu ni kwamba wanawake wameumbwa kudanganywa na kuhadaika na wao wanatumia advantage hiyo kuwadanganya na kuwateka wanaume!!!Mantiki ni hii:
1.Asimuamini mwanamke moja kwa moja kwamba yuko peke yake!Hana uhakika huenda kama kuna njemba mwingine ana uhusiano na mwanamke na huja kulala hapo.Siku akikutwa kalala hapo na mwenyewe kaja kulala nadhani outcome ni ugomvi na kuchomana visu.
2.Huenda hata kitanda kimenunuliwa na njemba mwingine.
AACHE STAREHE KTK MAZINGIRA HAYO ATAJUTA
 
very good comments
Inawezekana,

1. Binti anataka kutunza heshima yake hapo anapokaa
2. Ana mtu mwingine kwa hiyo dili itaharibika
3. Jamaa haiva kimaisha kwa hiyo anaonyeshwa kuwajibika...akue kimaisha
4. kuanza kulala jamaa anaweza kuhamia kabisa wakati hata ndoa hajagusia....
5. kuna future kwa uhusiano huo au ni piga piga tu.....

Mshikaji ndio anaelewa zaidi mwanzo, waliopo na walikopanga kwenda kimaisha.... kama plan haipo ni kazi hapo. kama ipo naifuatwi...then ajiulize kwa nini....
 
Mi sioni tatizo la jamaa kulala kwa demu wake kama wanapendana na wanakubaliana vizuri (hususan kama jamaa ana sababu za msingi za kutoweza kuwa na kwake). Ila tu wanaume tuna tabia ya kujistukia na kutokujiamini na ndo maana pengine huwa tunaogopa wanaume wengine wenye vipato zaidi yetu kuwa wanaweza kutuchukulia wapenzi wetu. Siku hizi sio kama zamani au sio kama ule utamaduni ambao mwanamke ni mama wa nyumbani tu na anasubiri kila kitu afanyiwe na mwanaume. Ila point ya msingi ni kuwa huyo mwanamke kumweleza jamaa ukweli kuwa labda hataki kulala naye kwa kuwa hataeleweka vizuri wakiwa bado hawajaoana. Na kama hayuko wazi basi huyo mwanamke lazima atakuwa na jamaa mwingine tu ambaye pengine ndo huwa analetwa hapo nyumbani.
 
Usawa udumishwe kwani tatizo liko wapi? si mnasema wanawake wanaweza si ndio kuweza kwenyewe huko ama?!!
 
Usawa udumishwe kwani tatizo liko wapi? si mnasema wanawake wanaweza si ndio kuweza kwenyewe huko ama?!!

mmh jamani na wewe umesahau msemo unasema hivi....wanawake wanaweza WAKIWEZESHWA(wawezeshaji=wanaume=wenyepesa)
sa tutawezeshwa vip na wasio na pesa????
 
Huyo rafiki yako anajitoa muhanga! He is ready to die for his girlfriend! If not, tell him to stop this habit before things get worse!
 
nampa big up huyu dada naona anatunza heshima zaidi hakuna cha zaidi.mwanaume amtembelee hapo sawa lakini kuchakachuana hapo hapo siafiki sana ingawa wanatenda dhambi watafute hotel sio hadi kulala ebo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom