Mwanaume kwenda kulala kwa demu.

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Kuna jamaa yangu amenisimulia kisa kinachomuhusu yeye na demu wake,mshikaji yeye ana kaa kwao yaani bado yupo kwa wazazi ila demu wake anafanya kazi na amepanga chumba,tatizo ni kuwa mshikaji huwa anatabia ya kwenda kumtembelea demu geto kwake na wakati mwingine hulala huko geto kwa demu,mshikaji anasema demu wake hapendi tabia yeye kwenda na kulala kwake anataka wawe wanakutana sehemu nyingine zaidi ya geto la mshikaji.Mshikaji ana omba ushauri maana ameanza kuhisi kuwa demu hampendi.Naomba mumshauri huyu mwenzetu cha kufanya.
 
Kabla ya kumwombea ushauri wewe unakubaliana na kitendo cha mwanamke au mwanaume kulala kwa mpenzi wake na kushiriki tendo la ndoa wakati hawajaoana? Wewe unafikiri huyo mwanamke akienda kulala kwa huyo kijana wake wazazi wa mwanaume watamchukuliaje? Si watamwona aina fulani ya changudoa tuu?
 
Inawezekana,

1. Binti anataka kutunza heshima yake hapo anapokaa
2. Ana mtu mwingine kwa hiyo dili itaharibika
3. Jamaa haiva kimaisha kwa hiyo anaonyeshwa kuwajibika...akue kimaisha
4. kuanza kulala jamaa anaweza kuhamia kabisa wakati hata ndoa hajagusia....
5. kuna future kwa uhusiano huo au ni piga piga tu.....

Mshikaji ndio anaelewa zaidi mwanzo, waliopo na walikopanga kwenda kimaisha.... kama plan haipo ni kazi hapo. kama ipo naifuatwi...then ajiulize kwa nini....
 
Atafute chumba chake ndo apeleke mwanamke.

Huyo mwanaume haoni aibu??

Mmmhhh watu wengine bana haya

All in all hapo kuna kitu kimejificha ndani kwa huyo msichana, kwanza inawezekana kabisa anaona aibu kubwa mwanaume kulala nyumbani kwake, pili may be ana mwingine anaona so kuleta wanaume tofauti tofauti home kwake.

Lakini si vyema sana kuwa na mahusiano wakati hamjaoana
 
Kuna jamaa yangu amenisimulia kisa kinachomuhusu yeye na demu wake,mshikaji yeye ana kaa kwao yaani bado yupo kwa wazazi ila demu wake anafanya kazi na amepanga chumba,tatizo ni kuwa mshikaji huwa anatabia ya kwenda kumtembelea demu geto kwake na wakati mwingine hulala huko geto kwa demu,mshikaji anasema demu wake hapendi tabia yeye kwenda na kulala kwake anataka wawe wanakutana sehemu nyingine zaidi ya geto la mshikaji.Mshikaji ana omba ushauri maana ameanza kuhisi kuwa demu hampendi.Naomba mumshauri huyu mwenzetu cha kufanya.
usije ukawa ndio wewe kwanza.....halafu huo ni ujinga ipo wazi utalalaje kwa demu wako ile hali hujui hata gharama za kodi ya nyumba?Na anamuambia wakutane kwakuwa anaogopa anaelipa kodi yake asije akamkuta siku moja halafu ikawa msala.....
 
Pumbafu kabiza. Mtu mwenyewe kula kulala kwako. na demu anataka agonge bure, kulala bure. Sie tunatafakari jinsi tunavyodaiwa na Zombe
 
starehe garama we unataka utamu ukamchafulie mnashuka afue nani?? ngono chafu mkafanyie lodge/hotel/ gest house pum....fu mwanaume kulala kwa mwanamke aibu sana,

hata kama yupo mwanajf mwanaume anaelala kwa mwanamke na aache mara moja hata kama kodi ya chumba unalipa wewe.
 
Ushauri wangu ni kwamba, demu na jamaa watambulishane kwa wazazi wa pande zote mbili, wafanye mipango ya kuwaunganisha ili mfunge ndoa kabisa, hapo mtaondokana kabisa na usumbufu wote huo maana mtakuwa kitu kimoja tayari

Period
 
Hivi ni vibaya eeh?
Hatutakiwi kuwasaidia hata mnapokuwa na shida?
Maana naona jamaa shida yake ni kuwa hajajipanga kimaisha.
 
jamaa naye kavu kweli yaani anaenda kulala kwa demu!

ndo masharobaro sasa hahahaha

lakini inategemea na makubaliano ila naona hata GF wake anaona kuwa sio sawa ndo maana

ningekuwa mimi ningechakarika niwe na chumba changu kabisaaa
 
Embu waungwana mnijuze na yule mwanaume ambaye anakutana na mwanamke guest halafu mwanamke ndo anakuwa analipia room daily tumuiteje???
 
mhh tatizo liko wapi hapo,jamani si tunataka usawa mbona mwanaume akifanya haya hatuachi midomo wazi kama kituo cha polisi:hand:
 
kwa hiyo dadaa kachoka kiwanja cha nyumbani anataka cha ugenini . Kaaazi kweli kweli...
 
Huenda binti unajijua mapungufu yake. Anaogopa kuwapigisha watu nyeto na kelele za mahaba, zile ooooooooh! mmmmmmmmmm! Uuuuuuuuuuuwhh.! Huenda hata kuna kadada hapo kakamchukulia utamu wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom