Mwanaume..."KUWADI"

bht, huyo si kuwadi tu, bali na mkaanga sumu
Akaajiriwe kwenye kiwanda cha mabomu maana hafai kuishi na bin adam.

Atakuwa anakuharibia makusudi. Kama ni mwanamme, mvalishe skin tait na koti

Ewaaaaaa hapa umenena....

Hivi Kongosho jaribu kupata hii taswira nyengine...lol

Wewe na Bossman mlivodondokeana, halafu kuwadi anakuja anaanza kukwambia aah usimshobokee bossman bana mbona kuna moskwito mnyonya damu bana yuko poa mi namfahamu kitambu na yeye anataka mchuchu...

wakati huohuo anafanya maongezi na Bossman na kukuponda ile mbaya na kumwambia Bossman ntakuunganisha na Mdada ninamfahamu vizuri....

Hivi huo ni ukuwadi au ni zaidi ya ukuwadi?
 
Last edited by a moderator:
bht, huyo si kuwadi tu, bali na mkaanga sumu
Akaajiriwe kwenye kiwanda cha mabomu maana hafai kuishi na bin adam.

Atakuwa anakuharibia makusudi. Kama ni mwanamme, mvalishe skin tait na koti

.....hahaha, yategemea umeshikilia kisu kwenye mpini au kwenye makali kumhukumu hivyo...
 
Last edited by a moderator:
:doh: Kwa thaabu anampigia pande mnyonya Mbu damu imekuwa kaona nje ya bokthi?

....lol, huyo ni 'mtoa ushauri nasaha'....
Waweza mtafsiri vibaya, kumbe anamtizamo "nje ya boksi!"
 
Last edited by a moderator:
bht, huyo si kuwadi tu, bali na mkaanga sumu
Akaajiriwe kwenye kiwanda cha mabomu maana hafai kuishi na bin adam.

Atakuwa anakuharibia makusudi. Kama ni mwanamme, mvalishe skin tait na koti
Huyo ni mwanaume Kongosho...
Sasa huyu ukimkodishia matarumbeta, ukanunua na sare ya madera kwenda kumsuta kwa hisani ya Gea na Dina kuna ubaya?
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa ana nia nzuri, angesema tatizo analoliona bila kumtafutia mbadala
Maana kila mt anajua anachohitaji.

Mbu kama wewe ni rafiki yangu, nikiona unapiotea nitakuambia

Sidhani kama nahitaji kukukuwadia kwa mwingine
Halafu na yule nayetaka umwache, naye nimkuwadie kwa mwingine

Who am I? Ina maana mie ndo najua unachohitaji kuliko hata wewe mwenyewe?
Ukute hata mahusuano yangu hayana afya kihivyo.

.....hahaha, yategemea umeshikilia kisu kwenye mpini au kwenye makali kumhukumu hivyo...
 
TF mbona umekimbia sasa?...kuwadi ni mjumbe tu, kwani mjumbe anauwawa? mpokea ujumbe ndio mwenye dhamana ya kuukubali au kuukataa ujumbe.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni bana...
TF nishakujibu awali, ....huyo mw'mke ndio mkosa, ....tafuta mnyonge wako nae uchinje!

Mchana mwema.
 
Naona mzuka ngoja nipokee mshahara wa mwezi ujao twende tukale bata palae samaki samaki m.city

Tukienda sanaki samaki hamna kuongea ki-deile bledi sawa?
Maana pale napo, full Yugoslavia or Yemen
Watu wanakatiza katikati ya snow

Huyo ni mwanaume Kongosho...
Sasa huyu ukimkodishia matarumbeta, ukanunua na sare ya madera kwenda kumsuta kwa hisani ya Gea na Dina kuna ubaya?

Huyu msute staili upendato, tena ukiweza msuta LIVE on CNN itakuwa saizi yake.
 
Kama mjumbe hauwawi, hebu jaribu kumkuwadia mke wa Tripo H au Shawn Michael au The Stongret Man.
Mbona mjumbe anachagua pa kutumwa?

TF mbona umekimbia sasa?...kuwadi ni mjumbe tu, kwani mjumbe anauwawa? mpokea ujumbe ndio mwenye dhamana ya kuukubali au kuukataa ujumbe.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni bana...
TF nishakujibu awali, ....huyo mw'mke ndio mkosa, ....tafuta mnyonge wako nae uchinje!

Mchana mwema.
 
Ingekuwa ana nia nzuri, angesema tatizo analoliona bila kumtafutia mbadala
Maana kila mt anajua anachohitaji.

Mbu kama wewe ni rafiki yangu, nikiona unapiotea nitakuambia

Sidhani kama nahitaji kukukuwadia kwa mwingine
Halafu na yule nayetaka umwache, naye nimkuwadie kwa mwingine

Who am I? Ina maana mie ndo najua unachohitaji kuliko hata wewe mwenyewe?
Ukute hata mahusuano yangu hayana afya kihivyo.

....lol, huu unaouongelea hapa ni mdahalo mpya, tena ukiweza ufungulie thread...nitakufundisha JOHARI window linavyo play part kwenye mapenzi....

Ukiskia 'love is blind' waweza ji limit kwa matakwa yako, lakini tulio nje ya boksi twaona huko unapoekea 'shimoni!' nasi tutamtuma "mshenga akutahadharishe...
 
TF mbona umekimbia sasa?...kuwadi ni mjumbe tu, kwani mjumbe anauwawa? mpokea ujumbe ndio mwenye dhamana ya kuukubali au kuukataa ujumbe.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni bana...
TF nishakujibu awali, ....huyo mw'mke ndio mkosa, ....tafuta mnyonge wako nae uchinje!

Mchana mwema.
Hahahaha!!!!!

Kuwadi = Mshenga....Source: Mbu
 
Back
Top Bottom