Mwanaume..."KUWADI"

i find it very insulting....
Unakuwadiwa vile huwezi kujua utakacho?
Huna uwezo wa kufanya maamuzi binafsi?
Domo lako zege?

Huu uzi umeniudhi maana umenikumbusha jitu moja useless sana....
Lol...bht nini mbaya tena
 
.....i mean, una maana hajawahi "kukuwadiwa" .....hahaha.....kama kuna mwanaume au mwanamke hajawahi 'pigiwa pande' anyooshe mkono juu!
Mbu unapitisha Roll Call....hahahaha kuna wangapi unafikiri wanaweza kunyoosha mikono
 
Last edited by a moderator:
bht, pumua taratiibu, vuta pumzi, naona umekasirika kweli.

i find it very insulting....
Unakuwadiwa vile huwezi kujua utakacho?
Huna uwezo wa kufanya maamuzi binafsi?
Domo lako zege?

Huu uzi umeniudhi maana umenikumbusha jitu moja useless sana....
 
Last edited by a moderator:
wote watatu hawafai, kuwadi, anayekuwadiwa na mwanamke mwenyewe.

Mwanamke na akili timamu hawezi kubali mwanamme ambaye hana hata uwezo wa kujielezea
mwanamme anayekuwadiwa, ana matatizo, sio mwanamme kamili
mwanamme kuwadi, yeye asamehewe maana sidhani kama anajua hata kaja dniani kufanya nini.
mwanamkehana kosa bwana
mbona zamani watu walikuwa wanatafutiwa wenza
issue ni kama foremen anajua mwanamke ana mtu wake na yeye anapeleka misound ...
 
Wewe una rafiki yako wa damu damu hajaoa sasa kila akikutembelea ofisini kwako anaona kabinti pale alafu jamaa amekazimia kweli kweli anataka kufika bei na kuweka ndani kawe kashemeji kako, sasa gia ya kuingia pale anashindwa anakuomba wewe kama rafiki yake umtengenezee njia ya kukutana na huyo binti sasa wewe hapo utakuwa umefanya kosa kumsababishia jamaa ako apate mchumba?

....umeona ee!?

Haya mambo yatokana lilipokugusa!
Kama umefaidika, watoa jina zuri, "mshenga"...
Then shem.....nk

Kama limekukwaza ku roho...utaskia majina yote mabaya, " kuwadi al maloun ibn kleb!"...
 
TF,
Naomba nikufahamishe kuwa makuwadi wazuri sana(kwa sasa) ni Wanawake wenyewe!
Mimi nikimtaka mke wa Kongosho(assuming ni mwanaume) namtumia Ashadii!...anasaundisha na anaupeleka mzigo hadi eneo la tukio, na ananiDIPU kunijulisha kuwa niende kuhangaika!


Mweeee!! Wee PJ nimekaa ki kuwadi kuwadi nini? :mad2: lol
 
Lawama zote ni kwa mwanamke aliyekubali kukuwadiwa,

Kwan kwa mwanamke makini hawezi kumsikiliza hata huyo kuwadi mnafiki anayejua kbs huyo mwanamke ana mtu wake na kuja kumkuwadia,

Pili mwanamke makini hawezi kumkubali mwanaume aliyeshindwa kumface mwenyewe badala yake akatongozwa kupitia kuwadi,means hata huyo mwanaume hana sifa za wanaume,

So km mwanamke atakua na msimamo na kutoa nduki kuwadi means na huyo aliyemtuma hato mpata.
 
Kwangu mie, kama mwanamme hawezi mfuata mwanamke face to face, basi hafai hata kuwa jirani.

Mie mke wangu umimtumia kuwadi anakukimbiza na panga na ukienda mwenyewe anakukimbiza na mwiko.

Na ukimtuma AshaDii namvua baibui.


Jamani Kongosho badala ya kuni defend siwezi kua kuwadi wadai utanivua baibui? Jamani.......
 
Last edited by a moderator:
....umeona ee!?

Haya mambo yatokana lilipokugusa!
Kama umefaidika, watoa jina zuri, "mshenga"...
Then shem.....nk

Kama limekukwaza ku roho...utaskia majina yote mabaya, " kuwadi al maloun ibn kleb!"...


Ndo hapo Mbu mi mfano namtaka mtoto wa Kihindi nitampataje? Si lazima nitumie mbinu ya kuwatumia mahouse girl au haouse boy ili waweze kunilink nae nibebe mtoto wa mdosi kilaini sasa hapo huyu aliye niunganisha na mtoto wa mdosi atakuwa amefanya kosa? je anastahili kuitwa neno baya?
 
Kwangu mie, kama mwanamme hawezi mfuata mwanamke face to face, basi hafai hata kuwa jirani.

Mie mke wangu umimtumia kuwadi anakukimbiza na panga na ukienda mwenyewe anakukimbiza na mwiko.

Na ukimtuma AshaDii namvua baibui.

Yaani hapa ndipo huwa unatuchanganya wewe mtu jinsia yako
Wakati mwingine unaonekana mwanamke baadae ukijisahau unaonekana mwanaume
Hapa wadau sijui wabebe wewe ni Semenya yaani vurugu tupu
 
Kuna scenarios mbili au tatu labda...
  1. mwanaume (rafiki yako) kumuunganisha mpenzi wako kwa mwanaume mwingine.......
  2. mwanaume (si rafiki yako) kuwa 'middle man' kwa mpenzio
  3. mwanaume kumweka mpenzio katika mazingira 'hatarishi'; ila bila kukuwadia
Sasa ni kipi unachosema hapa.....
Au concern ni kwa nini asitongoze yeye na 'kutongozea' wengine?
RR zote zinahusika..halafu hiyo ya tatu unaweza kunipa mfano kidogo...
 
Last edited by a moderator:
Nataka nimtaje Mbu, aache ukuwadi ni tabia mbaya sana...

Mwajey kakuvalisha soksi leo?...lol

.....asalaale....usimtaje "mshenga" hadharani weye, unavunja miiko bana....lol...

Mwj1 mnh, .....huko kwao kafunzwa kumfanya mume ni "Baba mfalme wa nyumba!" ...atayejipendekeza kukuwadia ajue nitatajiwa "mshenga" "mtarajiwa" na waalikwa..
 
Wote watatu hawafai, kuwadi, anayekuwadiwa na mwanamke mwenyewe.

Mwanamke na akili timamu hawezi kubali mwanamme ambaye hana hata uwezo wa kujielezea
Mwanamme anayekuwadiwa, ana matatizo, sio mwanamme kamili
Mwanamme kuwadi, yeye asamehewe maana sidhani kama anajua hata kaja dniani kufanya nini.


Kongosho,

Nakubaliana na wewe...Hao wote ni wapuuzi!

Ila kama kuna material motivations, hilo ni suala jingine; kwa sababu huo utakuwa ni udalali na biashara kama biashara nyingine!!


Babu DC!!
 
Ndo hapo Mbu mi mfano namtaka mtoto wa Kihindi nitampataje? Si lazima nitumie mbinu ya kuwatumia mahouse girl au haouse boy ili waweze kunilink nae nibebe mtoto wa mdosi kilaini sasa hapo huyu aliye niunganisha na mtoto wa mdosi atakuwa amefanya kosa? je anastahili kuitwa neno baya?
Mende0 aisee tunaenda sawaswa kwenye hii mada naona umeingia deep zaidi nimeipenda hii...Halafu naona Mbu kabadilisha ameamua kumuita Mshenga....lol
 
Last edited by a moderator:
....umeona ee!?

Haya mambo yatokana lilipokugusa!
Kama umefaidika, watoa jina zuri, "mshenga"...
Then shem.....nk

Kama limekukwaza ku roho...utaskia majina yote mabaya, " kuwadi al maloun ibn kleb!"...
Mbu...lol...ngoja nimsubirie Soulmate wako nione atasema nini
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom