Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,946
Waungwana;
Naomba maoni yenu. Kwa mtazamo wa Kiafrika (au niseme labda wa Kitanzania) wa jadi hoja ya mwanaume kuwa na mwanamke mpenzi mmoja tu ni ya zama hizi au toka kale? Nimekuwa nikiulizia sehemu mbalimbali, sijawahi kusikia kabila hata moja lililokuwa na utamaduni wa mwanaume kuwa "restricted" kwa mwanamke mmoja tu.
Kwa mantiki hii ni wazi kuwa kwa asili Watanzania ni "polygamists" -kama si kwa kufanya hadharani basi faragha i.e. "concept" ya nyumba ndogo. Mila ya kuwa na mke mmoja haipo na imekuwa "imposed" na kanisa - nasisitiza kanisa maana wasomaji wa Biblia watakuwa wamesoma habari ya mababa wa imani wengi tu waliokuwa na wake wengi tu. Ndio maana kuna hi dhana leo kwenye jamii kuwa wanaume wa sasa si waaminifu kwenye ndoa zao.
Which reminds me to ask...jamaa zangu wafugaji, kwenye zizi la ng'ombe/mbuzi "ideally" huwa kunapaswa kuwa na madume sawa na majike?