Mwanaume kuwa na Surname

Kwakawaida mwanamke kuchukua ubini wa mwanaume huwa wanaona fahari fulani hivi, sasa hapo kama mwanaume anachukua ubini wa mama mmh!
 
teh teh teh Blaki!! kama mwanamke anaweza kutumia ya mumewe kwanini mwanaume ashindwe??

japo hapa wakija utawaona wanajifanya oooh haiwezekani lkn waongo inawezekana lol!!!
ha ha ha susy,mna agenda ya kubadili hadi utaratibu wa majina kabisa...kweli mmedhamiria awamu hii!
 
Back
Top Bottom