Mwanaume kuwa na Surname

Mmmh! imani yangu ndogo sana ,
kama hili linaweza kufanyika hapa TANZANIA,,
Na hasa nikiyasoma mawazo ya mmojawapo ya wanaume wa KIBONGO,
kama THE FINEST.....
Narudia tena LABDA INAWEZEKENA.....lol
Kwanza mama yangu mwenyewe lazima ata oppose hii kitu
 
Kama maisha ya mkewe ni kawaida

BW si bure there has to be a catch! hebu fikiria unapata mwanaume na moja ya vitu tunapenda ni kujiskia you are always protected by him - how can he; wakati umemnyang'anya jina (first name unabadilisha it doesnt matter but surname says about your past, present and future). wewe ukipata a guy yuko willing kubadilisha surname achukue ya babako - kimbia...
 
Asha D
maisha yalikuwa yakawaidia kabisa
wote waajiriwa serikalini
walikuwa wanaishi kwenye nyumba za serikali kipato cha mtanzania wa kawaida
wamejenga nyumba ya kawaida kabisa hakuna cha utajiri pande wa mwanamke wala mume
Mungu amewajalia watoto wa kike na wakiume

Basi hapo inabidi tuangalie below the surface... inawezekana the relationship ya mwanaume mwenyewe na familia yake haikuwa nzuri, vitu kama ugomvi, visasi hutenganisha famillia - BUT mpaka kubadilisha jina?????
 
BW si bure there has to be a catch! hebu fikiria unapata mwanaume na moja ya vitu tunapenda ni kujiskia you are always protected by him - how can he; wakati umemnyang'anya jina (first name unabadilisha it doesnt matter but surname says about your past, present and future). wewe ukipata a guy yuko willing kubadilisha surname achukue ya babako - kimbia...

kuna wakati busara yako inapitiliza!!!!
 
Mwanamke anaitwa Mrs Mallya badala ya Mrs Masawe sijui anajisikiaje
 
kwanza mama yangu mwenyewe lazima ata oppose hii kitu

safi sana nauheshimu na nimeupenda msimamo wako,

pia hata kama mimi ningekuwa ndiyo mama yako au dada yako,
nisingekuunga mkono katika hili ,
ila ndoa yako ningeiheshimu na kuitambua nikichukulia kuwa unaipenda na inakuongezea furaha na amani moyoni mwako.
 
Waungwana tusizunguke mbuyu...wote hapa naamini ni wadau wa mapenzi,kwa phenomenum kwamba km bado hujaji commit yatosha tu kujiaminisha tu kua upo duniani kwa mchakato wa mapenzi!
Nirudi kwenye hoja ya msingi! Nani asyeamini mapenzi ni kitu kinachoweza kumhamisha mtu kutoka state moja ya mind hadi nyingine..nani?
Km jitu zima kabisa km mimi babu yenu naitwa baby na nakua mdogo ka aspirin kwanini nishangae mtu kutumia ubee wa mkewe! Thereinafter kuna watu wameenda mbele zaidi kwa kuongeza initials km muheshimiwa mpendwa mke wangu,hon mama fulani n so forth...nawasilisha hoja
 
nnunu tayari umeishaolewa??? Una mabusara sana
 
I see!!!
 
BW si bure there has to be a catch! hebu fikiria unapata mwanaume na moja ya vitu tunapenda ni kujiskia you are always protected by him - how can he; wakati umemnyang'anya jina (first name unabadilisha it doesnt matter but surname says about your past, present and future). wewe ukipata a guy yuko willing kubadilisha surname achukue ya babako - kimbia...
Finally i got someone who has a critical thinking on this issue
 
Waungwana tusizunguke mbuyu...wote hapa naamini ni wadau wa mapenzi,kwa phenomenum kwamba km bado hujaji commit yatosha tu kujiaminisha tu kua upo duniani kwa mchakato wa mapenzi!
Nirudi kwenye hoja ya msingi! Nani asyeamini mapenzi ni kitu kinachoweza kumhamisha mtu kutoka state moja ya mind hadi nyingine..nani?
Km jitu zima kabisa km mimi babu yenu naitwa baby na nakua mdogo ka aspirin kwanini nishangae mtu kutumia ubee wa mkewe! Thereinafter kuna watu wameenda mbele zaidi kwa kuongeza initials km muheshimiwa mpendwa mke wangu,hon mama fulani n so forth...nawasilisha hoja

Inapendeza inaonesha umepita sana mitaa ya kumdondokea mtu, fikiria ulowahi mdondokea kuliko wote - ulikua radhi kubadilisha jina uweze chukua la babake?
 
Mkuu sana Asha D...zidumu fikra zako...binafsi nina tabia fulani ya kukubali yaishe pindi panapotokea kamkwaruzano na mwandani wangu ambaye ni wifi yenu na shemeji kwa wengine humu...nilikuaja kurealize wakati mwingine nilikua namkwaza kwa kua ile mentality kua mwanaume ni lazima awe tough na asiyekubali kushindwa kirahisi ilikua imemkaa sawa bi dada wangu huyu...tokea siku ile nilianza kukunja sura na kutaka ufafanuzi kwenye matters ambazo hazikua clear heshima ya nyumba imerudi mahala pake!
 
Safi sana kaka, may your ndoa idumu.... ila ningependa kweli kujua ili kumridhisha unaweza chukua jina?
 
Jina ni identity!...na ni utamaduni pia kwa wengi! Najisikia fahari mathalan kuitwa wee bwana "mchumiatumbo" then mengine yafate...pamoja na mapenzi kwa mke wangu ila kuitwa ubeen wake wa "mke mimi" nadhani ni tusi kwa bbangu mpenzi aliyeingiza rehani kiinua mgongo chake kunipeleka middle school!
 
Asante sana ...... ndo hilo tu, nilitaka sana kujua kama ktk my definition ya uwanaume upo....LOL
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom