jamani jamani hivi nn kinachangia wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya she mmoja. maoni yenu tafadhali yaweza saidia kujua ma she tunakosea wapi.
Kukujibu ki ukweli zaidi ni kuwa mwanaume ameumbwa na anaweza kutongoza pale anapovutiwa na mwanamke akijisikia kufanya hivyo ila kwa mwanamke hawezi kufanya hivyo ana mipaka na hivyo kujizuia na tabia za mahusiano tata