Mwanaume kumshika kiuno mwanaume mwenzie . . .

Sijui ugumu unatoka wapi. Ila kwa suala la kukumbatiana hiyo ipo.
Kuna bro wangu mmoja huwa akitumiwa msg na rafiki yake anatanguliza neno dear. Sometimes anamwambia dear nimekumiss.
Bro hapendi halafu ni mshkaj wake wa siku nyingi.
Na nyie wengine hampendi au?
 
Hiyo kaka yako anaishi Mombasa au Zanzibar?
Sijui ugumu unatoka wapi. Ila kwa suala la kukumbatiana hiyo ipo.
Kuna bro wangu mmoja huwa akitumiwa msg na rafiki yake anatanguliza neno dear. Sometimes anamwambia dear nimekumiss.
Bro hapendi halafu ni mshkaj wake wa siku nyingi.
Na nyie wengine hampendi au?
 
Kule kwenye Basketball na American football, wanashikana mpaka makalio...! Wakati wakipongezana... hii nayo vipi?
 
Kizazi hiki kimeja mawazo ya ya ajabu sana. Wakati wenzetu kukumbatiana kati ya mwanamke na mwanaume hakina maana ya yoyote zaidi ya upendo uliopo kati yao kwetu sisi ikitokea ni disaster.

Kumbukeni kuwa tamaa ya kimapenzi ni katika akili ya mtu. kama mtu hajaseti kitu akili mwake hata aopite mrembo hapo ataona kama ni kitu cha kawaida. Ila siku hizo vichwa vyetu vimejaa tamaa na ndio maana hata kupendana miongoni mwetu kumekuwa duni. huwezi kumkum,mbatia dada ako, mama ako, kaka ako maana italeta tetemeko la arhdi kama lile la china.

Mbona zamani vidume vililala kitanda kimoja, na hakuna malalamiko yaliyo kuwa yanatokea. lakini kizazi hiki balaa, Yesu rudi upesi.
 
Yaani mimi hata kushikwa mabega sitaki kabisa, ila mikono ya mwanamke aah hewala sana tu, ila nae haruhusiwi kunishika mata.k.o. atakuwa amenidhalilisha.
 
that is nature, mwanaume halisi hawezi kuwa anapenda kushikana shikana na mwnaume mwingine, au awe anacheka cheka hovyo ni vigumu mno, ila akiwa na demu wake kucheka, kushikana kama kawa, ila nikiwa chuo 2007 kuna kijana alikuwa anacheka cheka mpaka mademu wanasema huyu mzima au? so is nature, ni kama vile mwanaume hajalala na mwanamke muda mrefu say 4 months or more lazima atakuwa na HASIRA sana tu hata kwa jambo dogo
 
Vipi ile habari ya wachezaji wa Mpira wa kikapu kupigana kwenye makalio mara goli linapofungwa. Hiyo ilinifanya nikakosa tamaa ya kucheza mpira huo, japo kuuangalia bado napendelea
 
Sijui ugumu unatoka wapi. Ila kwa suala la kukumbatiana hiyo ipo.
Kuna bro wangu mmoja huwa akitumiwa msg na rafiki yake anatanguliza neno dear. Sometimes anamwambia dear nimekumiss.
Bro hapendi halafu ni mshkaj wake wa siku nyingi.
Na nyie wengine hampendi au?

Ahahahah . . . . Tatizo wanaume wamezoea lugha za kibabe, zenye mchanganyiko wa ukorofi na uhuni. Mfano, badala ya kusema DEAR NIMEKUMISS unatakiwa useme KICHAA WANGU, SIJAKUONA KITAMBO MWANANGU, au kama akistaarabika sana atasema MAN, TUONANE BASI UMEADIMIKA. Lakin ukisema NIMEKUMISS MAN bado kwa wengine unaweza ukawa umewakoroga. Mwanaume hawezi kuzoea kuitwa DEAR na dume mwenzie
 
Kule kwenye Basketball na American football, wanashikana mpaka makalio...! Wakati wakipongezana... hii nayo vipi?

Haya sasa, kiuno tu mnaona noma, ukishikwa **** je kama USA? Tena wale hawashiki tu, ana minywa kabisa au anachapwa kibao kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom