Mwanaume kumpa au kutompa pesa mpenzi wake

dadam

Member
Apr 20, 2011
56
9
Habari Za Jioni wana JF.
Naomba mawazo yenu ktk hili. Hivi, katika mahusiano mwanaume kumpa mwanamke hela ina maana gani???? hasa wanaume naomba mnisaidie. Je ukiwa kama mwanaume, una girlfriend ambaye kipato chake na chako vinafanana utampa hela at any point???

kama ndio kwanini
kama hapana kwanini

vipi kama umemzidi kidogo kipato???

vipi kama yeye amekuzid????

Asante kwa comment
 
kama vipato vinafanana unampa hela za nini? aliyenazo kati yenu ampe mwenzake if need be..
 
Mwaanume kumpa mke wake pesa ni lazima, kama ni gf akalale mbele simpi hata siku moja.

Mke wako hata kama unamshahara mdogo kuliko wake, ni lazima umpe pesa.

Ndo mana mimi nikisema gf simpeleki out wengine wakaniona mshamba...Mimi gf simpi pesa yangu hata siku moja.

Kama ni mke wangu achukue zote tu hata nikose za mlo sitajali, sababu ni mke wangu :A S thumbs_up:
 
Habari Za Jioni wana JF.
Naomba mawazo yenu ktk hili. Hivi, katika mahusiano mwanaume kumpa mwanamke hela ina maana gani???? hasa wanaume naomba mnisaidie. Je ukiwa kama mwanaume, una girlfriend ambaye kipato chake na chako vinafanana utampa hela at any point???

kama ndio kwanini
kama hapana kwanini

vipi kama umemzidi kidogo kipato???

vipi kama yeye amekuzid????

Asante kwa comment

hakuna kitu kama kumpa mwanamke/mwanaume hela, bali kuna kusaidiana. kwahiyo hata kama mpenzi wangu kanizidi kipato , pale akiwa na shida nitamsaidia tu, kwani kuwa na kipato kikubwa haimaanishi kuto kuishiwa
 
Mwaanume kumpa mke wake pesa ni lazima, kama ni gf akalale mbele simpi hata siku moja.

Mke wako hata kama unamshahara mdogo kuliko wake, ni lazima umpe pesa.

Ndo mana mimi nikisema gf simpeleki out wengine wakaniona mshamba...Mimi gf simpi pesa yangu hata siku moja.

Kama ni mke wangu achukue zote tu hata nikose za mlo sitajali, sababu ni mke wangu :A S thumbs_up:
wow...haya Bhana
 
Inategemea kama ni shida ni tampa na kama ni kwa basi tu si wezi ni ka mpaa kwa sababu izo pesa ndizo zina changanya na kuanza may be ampe mpenz wake mwingine but kama ni kwa shda muhimu sana nta mpaka na kama co ivyo atumie zake tu coz kipato changu nachake ni sawa tu.
Nukta.
 
Girlfriend no hela, mke ruksa but ukubali kugawana power kama anakupa hela ila ukiwa unampa unaonyesha uanaume ila kwa mambo ya msingi, sio tu unampa hela kama hakuna la maana. Mambo ya msingi ya kufanya ni mengi.
 
Inategemea sana na uhusiano wenu! Ila generally ni vyema kumpa mpa au tuzawadi badala ya hela regardless ya mshahara wake, hii inaonyesha caring
 
Hela huwa inatolewa ili ifanye matumizi, hivyo hela inatakiwa kutolewa pale kunapokuwepo na mahitaji. Hata kama mna kipato sawa lakini mpenzio akawa na hitaji la fedha za kununua kitu ambacho kipato chake hakitoshelezi akaomba aongezewe hamna ubaya kusaidiwa/kuongezewa.

Japo kuna baadhi ya wanaume ambao wanakuwa na tabia ya kupenda kuwapa wapenzi wao fedha hata km hawazihitaji/hawajawaomba kwa wakati kule kwa mtizamo wa mfumo dume kwamba mwanaume anawajibika kumtunza mwanamke, na mwanamke anamahitaji ambayo si lazima mpaka amwambie mwanaume.

Kimsingi wapenzi wanatakiwa kujengana katika matumizi ya fedha ili kuepusha matumizi yasiyo ya lazima mf km bf anakupa fedha wakati wowote unaweza kuanza kutumia kipato chako katika mambo yasiyo na msingi.
 
Nadhani hapa mnataka kuchanganya Habari, ni kwamba hapa tuliopo JF kila mtu ana Maisha yake na style zake na inategemea your patner ni wa Category ipi?

Kama either ni girlfriend au Mke wako na Financial yuko vizuri basi Thanks God, ni kwamba instead kumpa sapoti ya cash then unaweza ukawa unamnunulia gift za Kijanja ambazo hata yeye atakuapliciate sana kuliko hata kama ungekuwa unampa cash, zawadi ni nyingi tu za kumnunuli patner wako mfano ni huu hapa:

1. Gari
2. Ipad
3. I phone/Blackberry
4. perfume za kijanja
5.Suti za kijanja kama ni wa ofisi au Dressing za ukweli kama ni Freelancer/bizzness Woman
N:K.

Si kwamba eti Mwanamke akiwa na pesa ndio kusema haitaji pesa yako, lazima ukumbuke haya ni mambo ya nature tangu Mungu alivyoumba Dunia, mkizifuata kauli mbiu za binadamu zitawapoteza sana na utashangaa msuguwa kucha na kupanga rangi kucha za wanawake anapewa uroda na mkeo kwa sababu mwenzako anaonesha kumjali mkeo na kumthamini.
 
sasa fazaa ukiwa na gf halafu ukashindwa kumsaidia coz c mkeo unategemea nani amtunze?,ukitunziwaje au wewe ni mtumiaji2
 
hakuna kitu kama kumpa mwanamke/mwanaume hela, bali kuna kusaidiana. kwahiyo hata kama mpenzi wangu kanizidi kipato , pale akiwa na shida nitamsaidia tu, kwani kuwa na kipato kikubwa haimaanishi kuto kuishiwa

huwezi kusema unamsaidia gl friend hata siku moja.huyo unamhonga tu neno kumsaidia ni kujifariji tu.
 
Nadhani hapa mnataka kuchanganya Habari, ni kwamba hapa tuliopo JF kila mtu ana Maisha yake na style zake na inategemea your patner ni wa Category ipi?

Kama either ni girlfriend au Mke wako na Financial yuko vizuri basi Thanks God, ni kwamba instead kumpa sapoti ya cash then unaweza ukawa unamnunulia gift za Kijanja ambazo hata yeye atakuapliciate sana kuliko hata kama ungekuwa unampa cash, zawadi ni nyingi tu za kumnunuli patner wako mfano ni huu hapa:

1. Gari
2. Ipad
3. I phone/Blackberry
4. perfume za kijanja
5.Suti za kijanja kama ni wa ofisi au Dressing za ukweli kama ni Freelancer/bizzness Woman
N:K.

Si kwamba eti Mwanamke akiwa na pesa ndio kusema haitaji pesa yako, lazima ukumbuke haya ni mambo ya nature tangu Mungu alivyoumba Dunia, mkizifuata kauli mbiu za binadamu zitawapoteza sana na utashangaa msuguwa kucha na kupanga rangi kucha za wanawake anapewa uroda na mkeo kwa sababu mwenzako anaonesha kumjali mkeo na kumthamini.
umenena kaka..i support this 100%
 
Back
Top Bottom