mwanaume kama huyu ni wa kundi gani....................

Nashindwa kuamini, hivi kweli mdada wa leo ahongwe gari achomoe!
Ngoja niwaachie wenyewe, lakini mimi naona ni ngumu kumeza.....................................

Mkuu Mtambuzi mbona wapo, imagine boiflendi wake kamuhonga BMW X5, wewe unamletea toyota mark II, lazima akatae asee...!!
 
Last edited by a moderator:
Story yako iko nusu nusu...ni ngumu ku comment comment zilizo sahihi...material facts nyingi umeacha.

Nijuavyo mimi mtu hawezi fikia kukuonga gari kwa kukuona tu barabarani...je mko close kivipi na huyu jamaa? Ni boss wako? Jirani yako? Mmejuana vipi? Isije kuwa umechangia kwa kujiweka karibu naye na kumfanya aamini kuwa wewe tayari ni wake kwani kuwa wapenzi si mpaka akutongoze useme ndiyo...wengi wana fall naturally.

Aingii akilini mwanaume amfuate mwanaume mwenzie kumchimba mkwara kuwa wewe ni girlfriend wake bila kuwa na sababu za kufanya hivyo. Sijawahi kuona aisee...unless utuambie more kuhusu huyo jamaa ...mfano alishawahi kulazwa mirembe.Lol.
 
Kwa maneno uloandika hapo unampenda kweli mpenzi wako au bado huko single and searching...
Huyo jamaa angekuwa hajawahi kuoa wala ku divorce ungekubali hilo gari?
Je akikupa sababu za msingi za ku divorce bado utamtolea nje?

Mi ningetegemea labda useme nina mpenzi wangu ninayempenda sina shida na mwanaume mwingine..lakini kusema sijuhi ka divorce mara mbili...inanifanya nione kama jamaa akiongeza spidi anakupata.

ndugu yangu ningetaka kutembea naye ningefanya hivyo ila ya nini? hivi mtu ni divorcee two times miye nakwenda hapo kutafuta nini? sawa umasini wangu napaki nao na mpenzi wangu, kwani hata hivyo tumeridhika na tuna amani sana kuliko kwenda kuingia kwenye maisha yenye manyanyaso na tabu kisa hela
 
kaka yangu sijui niseme si kwamba nina shida sana na gari ishu je nikubali kupokea gari halafu hatma yake ni nini? je huyu ambaye ni wa moyoni mwangu namfanyaje? kama je sijamjaza moyoni nimkubali tu kisa gari? nasema kweli jamani tena kanikera sana kwa vitisho anavyovitoa kwa mpenzi wangu.

hivi hapo hajanioa siku ukiingia ndani na jitu kama hili si ndo utakoma? money isnt every thing

Hapa ndo huwa nakubaliana na usemi kwamba wanawake kweli wanapenda kwa moyo, lakini wanaume.... loh! Pamoja na huyu dada wa watu kujitoa hivi usishangae kuja kusikia huyo huyo mpenzi wake amemtosa na kuoa mwingine. Tabia za wanaume wengi zinabadilika sana mambo yakishanyooka. Ni kuomba sana Mungu, vinginevyo utajuta kupenda!
 
Nashindwa kuamini, hivi kweli mdada wa leo ahongwe gari achomoe!
Ngoja niwaachie wenyewe, lakini mimi naona ni ngumu kumeza.....................................
unaweza toa gari wala usile kuna mkuu wangu wa kazi alijichanganya kutoa gari na tunda hakula kilichofuata ni pressure inapanda mara inashuka
 
Kunawanao tamani na wanao penda. Kwa muahamasishe mnaye penda kuhusu hawa wanao tamani ili mule malavidavi bila kero
 
Back
Top Bottom