mwanaume kama huyu ni wa kundi gani....................

manshiroo

Senior Member
Jul 2, 2012
150
138
Hivi wanaume wanaaomba penzi na kukataliwa kisha kuchukua uamuzi wa kumtafuta mtu ambaye ni mpenzi wako na kumpiga mkwara kwamba achana na binti/mwanamke fulani kwani ni demu wangu wanakauwawaga anawaza nini? ama je ka wanaojua watawaweka kundi gani?

manake utakuta mtu anahonga hadi gari na kupiga outing za mahotel makubwa lakin binti unakataa sasa anaona pesa yake bado haijakuconvice anaamua kutumia njia ya kuwasiliana na yule wa moyo wako ili akuharibie ivi wanakuwa wamelogwa ama ni wazima wa akili? au je ni kwamba mtu ukiwa na hela basi mwanamke avutike tu na wewe? Jamani niliye naye hana hzo hela zako ila kweli sikutaki na kama ukohumu ujue tu sikupendi hela yako ikawanunue wengine mimi na huyu wangu basiiii.
nawasilisha.............
 
Wanaume wanaamini wakishakua na pesa wanaweza kununua kila kitu na ikitokea ikashindikana despite of all efforts, hua wanakua kama wamechanganyikiwa vile!!

ndio hadi umtumie email mpenzi wa mtu? kweli hela yako can talk to such extent? eti unasema nakununulia british car.....kweli mimi na mpenzi wangu tumeshazoea bajaj ya kukodi kweli is it fair?
 
pole manshiroo, ndo maisha. cha muhimu ni kumueleza mchumba/mpenzi wako kinachoendelea na kumhakikishia we hurubuniki na vijisent vya huyo mwehu kisha achana naye wala usimfatilie. pole sana hata me ishawahi kunitokea bt nlimwelewesha mpnz wangu na kumhakikishia kuwa am not of those types na alinielewa. . .
 
Last edited by a moderator:
Hivi wanaume wanaaomba penzi na kukataliwa kisha kuchukua uamuzi wa kumtafuta mtu ambaye ni mpenzi wako na kumpiga mkwara kwamba achana na binti/mwanamke fulani kwani ni demu wangu wanakauwawaga anawaza nini? ama je ka wanaojua watawaweka kundi gani?

manake utakuta mtu anahonga hadi gari na kupiga outing za mahotel makubwa lakin binti unakataa sasa anaona pesa yake bado haijakuconvice anaamua kutumia njia ya kuwasiliana na yule wa moyo wako ili akuharibie ivi wanakuwa wamelogwa ama ni wazima wa akili? au je ni kwamba mtu ukiwa na hela basi mwanamke avutike tu na wewe? Jamani niliye naye hana hzo hela zako ila kweli sikutaki na kama ukohumu ujue tu sikupendi hela yako ikawanunue wengine mimi na huyu wangu basiiii.
nawasilisha.............

wewe kama umekubali kuhongwa na kupokea zawadi
kitumbua lazima kiliwe by any means necessary
hutaki kuliwa,usile....
 
Hao naona huwa wanawashwa kuchunwa!, yaani kuna watu wanakera mpaka anaweza kukufanya uchukue uamuzi mbaya dhidi yake!

Huyo mwanaume ana wekwa kundi la wasio kubali kushindwa!
 
Nashindwa kuamini, hivi kweli mdada wa leo ahongwe gari achomoe!
Ngoja niwaachie wenyewe, lakini mimi naona ni ngumu kumeza.....................................

kaka yangu sijui niseme si kwamba nina shida sana na gari ishu je nikubali kupokea gari halafu hatma yake ni nini? je huyu ambaye ni wa moyoni mwangu namfanyaje? kama je sijamjaza moyoni nimkubali tu kisa gari? nasema kweli jamani tena kanikera sana kwa vitisho anavyovitoa kwa mpenzi wangu.

hivi hapo hajanioa siku ukiingia ndani na jitu kama hili si ndo utakoma? money isnt every thing
 
ixeee asikudanganye mtu mapenzi ya mpenzi asokuwa na mijihela ni matamuuuu asali imeaingiziwa. Kataa mwaya

asante mwaya, mimi ni huyu wa kwangu japo hana kitu lakin twala kwakicheko na furaha na amani ipo siku zote sasa huyu analazimisha na moyo angu umekufa kabisa yaaani nilimwambia kabisa lakn hataki leo ndo kaniboa zaid kumtumia mpenzi wangu email.
 
pole manshiroo, ndo maisha. cha muhimu ni kumueleza mchumba/mpenzi wako kinachoendelea na kumhakikishia we hurubuniki na vijisent vya huyo mwehu kisha achana naye wala usimfatilie. pole sana hata me ishawahi kunitokea bt nlimwelewesha mpnz wangu na kumhakikishia kuwa am not of those types na alinielewa. . .

ahsante mwaya miye nimemweleza kila kitu mpenzi wangu ila sasa haniamini anaona kama naweza kubadilika mawazo lakin mimi siko hivyo najijua sipend kunyanyasika
 
wewe kama umekubali kuhongwa na kupokea zawadi
kitumbua lazima kiliwe by any means necessary
hutaki kuliwa,usile....

kaka sijakubali nimekataa kabisa manake najua mapenzi yenye incetives yana mwisho mbaya. ila hanielewi hadi kamuondolea mpenzi wangu amani yake. hivi mwaname kama huyu unamweka kundi gani?
 
pole,ndivyo yalivyo mafataki. . . mwaya ni bora uishi kwa amanî ni vicheko na mtu unayempenda kwa dhati kwan pesa ni makaratasi na zinatafutwa. amani na furaha havinunuliwi kwa pesa mamie. . . Muombe Mwenyezi Mungu atakusaidia. mwambie "money can't buy love"
 
Hao naona huwa wanawashwa kuchunwa!, yaani kuna watu wanakera mpaka anaweza kukufanya uchukue uamuzi mbaya dhidi yake!

hata hivyo doreen mtu kama huyu ukimchuna mbona ni dhambi tu? manake mimi nilimuuliza mmbona hajaoa kasema alitengana na mkewe halafu akaoa tena akatengana wewe wadhani hapo kuna usalama?
 
Last edited by a moderator:
pole,ndivyo yalivyo mafataki. . . mwaya ni bora uishi kwa amanî ni vicheko na mtu unayempenda kwa dhati kwan pesa ni makaratasi na zinatafutwa. amani na furaha havinunuliwi kwa pesa mamie. . . Muombe Mwenyezi Mungu atakusaidia. mwambie "money can't buy love"

dada yangu yaani huyu mkaka keshaoa mara 2 na kuacha leo ananitakia nini mimi?
 
pole manshiroo, ndo maisha. cha muhimu ni kumueleza mchumba/mpenzi wako kinachoendelea na kumhakikishia we hurubuniki na vijisent vya huyo mwehu kisha achana naye wala usimfatilie. pole sana hata me ishawahi kunitokea bt nlimwelewesha mpnz wangu na kumhakikishia kuwa am not of those types na alinielewa. . .

Big UP!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom