Mwanaume kafukuzwa kazi, namuacha

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
 
another sily era...., mali na fedha zinapokuwa kigezo cha kusalitiana katika mapenz.
shame on you.
 
siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi

na hapo ndipo mimi ninapopendea huu mfumo wetu dume,...mnajidai kutaka haki sawa wakati kwenye mawazo yenu mnapenda kutegemea vya bwerere....anyway_ol the best....lo!
 
mh em kua na huruma na aibu we dada kaacha cjui kafukuzwa kazi bdo unataka umuongezee strss? WHAT GOES AROUND COMES AROUND. Safari njema uendako.
 
Natalia umezidisha kupost udaku unatuharibia jukwaa letu la MMU maana nimeona thread zako zote hazina mashiko
 
unamambo wewe binti, mara mara 9 usiku mmoja, mara kuhongwa gari! Sasa umekuja kivingine? Ila utoto tu unakusumbua ukikua utaacha!

Anyway shule mnafungua lini?
 
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi

haya yote yanawezekana kama tu una hela....otherwise kubali kuliwa ili ule

nimequote toka kwa Ankal JK,..."Ukitaka kula sharti na wewe uliwe"
 
unamambo wewe binti, mara mara 9 usiku mmoja, mara kuhongwa gari! Sasa umekuja kivingine? Ila utoto tu unakusumbua ukikua utaacha!

Anyway shule mnafungua lini?



Umeona BADILI TABIA....,????

Hata mie bado najiuliza sana, hivi huyu Natalia ni binadamu wa kawaida au aina fulani ya robbot inayovaa nguo za kike??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
huyu dada kama anavyopost humu ni kweli basi ana matatizo makubwa sana........nikiambiwa nichague kati ya hela,kazi,mke au kujitambua..nitachagua kujitambua
 
Babu Dark City, hivi mid life crisis huwa inaanza umri gani??

Je mtu anaweza pata pre mature mid life crisis??


Na premature menopause huwa ina athari gani kwa binadamu.
 
Last edited by a moderator:
Unatupa taarifa ya nini? Wapo wanaume kibao wananunua wanawake, it looks like all you need from a man is money and shopping, well go do business with them.


Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom