Mwanaume Hanuni!

Rose that how a man should behave

Roya ataendelea na darasa jumamosi

ni wachache wanaoweza kubehave like man lakin wengne kwa post zao tu unajua uyu ni mwimba taarabu au ni beb seater somewhere...
---ths man has gt wsdom...lakin wale wafata watu kwa nyuma nyuma ya mstar chn anaweza wake km nanii ahh ni ma crap zaid ya crap yenyew..
--mtu kakaaaa kujaj jaj tu...ru tep measure?..anaajaribu kukujua wakat ata choo cha kwao ajajua kna sentimita ngap...kuna kadigi dig kamoja umu kananifata sna nimekahold nimeona kanataka kunzba pua ....simblis mkubwa!!!!!!
ROY NENDA NAE ...kwanza anaumwa....ahh bg jaman anajua kufundhs uyo ivi alikuwa mwalimu wa hisabat nt mwandko pale havard?au oxford...jumamos twaenda malizia semester siye...!!!!!!!
 
tokazako!!!!!!!!!!
mwone vle.....bacha nataka uyoga jaman ntaupata wap??

hebu mcheki wa ubani wako RR atakusaidia!!huwa nasikiaga ukizoea kula sana uyoga, unaweza kuanza kununa nuna ovyo!!!!!!
 
dah una akili wewe...
jaman nsipoolewa asi ntakufaaa?????
unaimba taarabu wwe?naona umekaa kiswaga izo..ebu jarbu kunpotezea kdg ..dah kasuke ukiri na bibi yako
ur very low ...very min..upeo mfuuuup..woman to mary siyo?
r u husband 2mary?
crap as t z.
REST IN PEACE

haya mama nitakupotezea, ila acha hasira binti
 
+uache kujfanya unajua sana watu
+kujifanya jaj
+kujifanya unatambua saaaaaaaaaaana
apa jf n 4fun si kuanza kuandagrade watu na kuwasema vbaya watu
-sna tabia ya kurudsha majibu mabaya kwa watu lakin kakangu nimekuvumilia kitambo sana yan nimekuzngatia karne sasa nkaona wewe unataka kunpandia kichwan
fatilia swaga zangu nikipost basi ni for fun na kuna watu ambao tunataniana lakin c wewe naona WEW SWAGA ZAKO ZMEKAA KIDHARAU ZAID..NAMIMI DHARAU SI SWAGA ZANGU ....SO KM VP WEWE NIPOTEZEE TU..JARIBU KUWACHOKOZA WENGNE...MIMI KUTUKANA KM UNAVYOTUKANA WEWE SIWEZ AFU NAONA NTAKUWA MTOTO KM SI MPUMBAVU ..SO BABA PLSSSSSSSSSS NIPITIE MBALI TAFUTA WA SWAGA ZAKO MIMI NOOOOOOOOOOOOO.
byeeeeeeeeeee
case z ova.
pc n love.
ave anice day ma broo.
 
HA HA HA Eti migomba bado iko kichwani
hahaaaaaaaaaaaaaa haaaaa kadig dig pole jaman
naona mamakubwa anakuambia una migomba jaman wakat wewe una kamba tu mguun...ahh jaman mama bg mbaya uyu....kafest led ketu niliona mambo si mabaya hahhaa hahaaa nimesahau kumpa umbea mam bg vile mlivyokuwa mnaongea wakat mmenicall....
 
hebu mcheki wa ubani wako RR atakusaidia!!huwa nasikiaga ukizoea kula sana uyoga, unaweza kuanza kununa nuna ovyo!!!!!!

nan kakwambia wewe? rr?
asi ndo vzur jaman ..nikimnunia rr nakuja kwako..autak SUB TENDER?????
 
hahaaaaaaaaaaaaaa haaaaa kadig dig pole jaman
naona mamakubwa anakuambia una migomba jaman wakat wewe una kamba tu mguun...ahh jaman mama bg mbaya uyu....kafest led ketu niliona mambo si mabaya hahhaa hahaaa nimesahau kumpa umbea mam bg vile mlivyokuwa mnaongea wakat mmenicall....

Unapenda umbea wewe muone kwanza
 
Haya wanaJF, niliwahi ulizwa hili swali na bibie mmoja aliyekuwa amekosana na BF wake. Kutokana na maelezo yake inaelekea yeye bibie ndio alikuwa mkosaji. Kitendo kilichompelekea BF kununa. Baada ya kuomba ushauri, akaniuliza eti kaka jamani kwani wanaume wananunaga? Kwa kweli sikuwa na jibu mie nilimwambia tu wanaume ni watu kama nyie na wana miili ya nyama na wanatofautiana sana. Wengine hufa na tai shingoni na wengine huonyesha hisia zao. Hebu nipeni mtizamo wenu, kinadada na akinakaka mnasemaje hapo?

Hivi kabisa dume zima umnunie mpenzi wako eti huongei naye!jamani wanaume wengine wanamatatizo!
mwanaume utakiwi kununa bwana kama mpenzio akikukera tafuta muda umueleze.tena mwanamke anaeleweshwa taratibu hata kama yeye ndio mwenye kosa.
wanaume mnaopenda kununa muache.aibuuuuuuuuuuuuuu
 
Unapenda umbea wewe muone kwanza
ndo unaoniweka mjin apa..ninavyomjua mam bg nikimpa umbea nusu bas zawazd yangu ni ile kinywaji ambayo ipo chn ya ..SCOTCH LAW...generation y anajua zaid.. UNAJUA SCOTCH LAW WEWE...ahhh wap bgrta na maandaz yake yenye tobo kat kat...!!!!!!!!
 
nan kakwambia wewe? rr?
asi ndo vzur jaman ..nikimnunia rr nakuja kwako..autak SUB TENDER?????

Hivi Rose, SUB TENDER ndo kama SPARE TYRE eeeeeh!!mmmmmmmmmh kama ni hivyo basi swaga hizo hapana!!!!!!!!!!!Kwani hata hivyo inahu...........???????!!!!!
 
RR chaghua mwenyewe..NKUNUNIE AU NKUKASIRIKIE kwa lile kosa la juz la kulala na joho la altaren...!!!!!!!!

:sad: or :mad: or :frown: or :confused3: or :A S angry:eek:r ....but me luv them all....:kiss:
 
Hivi kabisa dume zima umnunie mpenzi wako eti huongei naye!jamani wanaume wengine wanamatatizo!
mwanaume utakiwi kununa bwana kama mpenzio akikukera tafuta muda umueleze.tena mwanamke anaeleweshwa taratibu hata kama yeye ndio mwenye kosa.
wanaume mnaopenda kununa muache.aibuuuuuuuuuuuuuu

:hippie::hippie::hippie:
 
+uache kujfanya unajua sana watu
+kujifanya jaj
+kujifanya unatambua saaaaaaaaaaana
apa jf n 4fun si kuanza kuandagrade watu na kuwasema vbaya watu
-sna tabia ya kurudsha majibu mabaya kwa watu lakin kakangu nimekuvumilia kitambo sana yan nimekuzngatia karne sasa nkaona wewe unataka kunpandia kichwan
fatilia swaga zangu nikipost basi ni for fun na kuna watu ambao tunataniana lakin c wewe naona WEW SWAGA ZAKO ZMEKAA KIDHARAU ZAID..NAMIMI DHARAU SI SWAGA ZANGU ....SO KM VP WEWE NIPOTEZEE TU..JARIBU KUWACHOKOZA WENGNE...MIMI KUTUKANA KM UNAVYOTUKANA WEWE SIWEZ AFU NAONA NTAKUWA MTOTO KM SI MPUMBAVU ..SO BABA PLSSSSSSSSSS NIPITIE MBALI TAFUTA WA SWAGA ZAKO MIMI NOOOOOOOOOOOOO.
byeeeeeeeeeee
case z ova.
pc n love.
ave anice day ma broo.

Mamy kulikoni tena
 
ndo unaoniweka mjin apa..ninavyomjua mam bg nikimpa umbea nusu bas zawazd yangu ni ile kinywaji ambayo ipo chn ya ..SCOTCH LAW...generation y anajua zaid.. UNAJUA SCOTCH LAW WEWE...ahhh wap bgrta na maandaz yake yenye tobo kat kat...!!!!!!!!

Usinune leo....:kiss:....leo nipo kimaslahi zaidi.....
 
ndo unaoniweka mjin apa..ninavyomjua mam bg nikimpa umbea nusu bas zawazd yangu ni ile kinywaji ambayo ipo chn ya ..SCOTCH LAW...generation y anajua zaid.. UNAJUA SCOTCH LAW WEWE...ahhh wap bgrta na maandaz yake yenye tobo kat kat...!!!!!!!!

Bigirita na maandazi yake yenye tobo katika utamuweza yule
 
ndo unaoniweka mjin apa..ninavyomjua mam bg nikimpa umbea nusu bas zawazd yangu ni ile kinywaji ambayo ipo chn ya ..SCOTCH LAW...generation y anajua zaid.. UNAJUA SCOTCH LAW WEWE...ahhh wap bgrta na maandaz yake yenye tobo kat kat...!!!!!!!!

Mwanamke umea!!!!! kusutwa suna babu weeeee

Mi nataka wamotooooooo ukipoa kiporo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom